Mafiningo
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 4,435
- 4,662
Ujerumani pana unafuu sana kama ndo hivyo. Vyakula vingi super market bei hazitofautiani sana na Tz.Dah kumbe mbele na bongo tunatofautiana vitu vingi sana.
Leo nmegundua tofauti moja.
Yani ukipiga pasi ndefu ukiwa bongo unakuwa umesave kati ya 1000-3000.
Ila mbele ukipiga pasi ndefu unakuwa umeokoa kati ya 60,000/= hadi 120,000/=
Kweli bongo bahati mbaya
[emoji16][emoji16][emoji16]
Ila ukienda mgahawa kweli bei zimetulia. Ukinunua super market unakula vizuri kwa bei poa kabisa.