6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Mkuu tupe details kuna ishu gani huko, tuongozane wote tujiorganizenataka kwenda Armenia mwishoni mwa mwezi huu Juni, kama kuna mtanzania yeyote huko anitaarifu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu tupe details kuna ishu gani huko, tuongozane wote tujiorganizenataka kwenda Armenia mwishoni mwa mwezi huu Juni, kama kuna mtanzania yeyote huko anitaarifu.
Mtu hataishi kwa mkate tu, bali kwa kila post ya Norway JF.!Unaishi kwa kula mikate...
Alabda kuna fursa kaiona?Unaenda ulaya maskini. Armenia ni kati ya nchi masikini ulaya kwa Africa ni kama Burundi hivi
Ndo raha nikondeUkienda norway hata uji hautapata utashindia maji ya farris
Mm online dating sijawah hata fikiria...strangers wengi mnoWapo wengi hata online dating site ... achana na bots/scammers wapo real kabisa wengi tu! Wanaijeria ndio wanakamatia sana hzio fursa
Nina jambo na wewe WangariNdo raha nikonde
Deal? Naja chaapNina jambo na wewe Wangari
Deal? Naja chaap
Apart masuala ya kiroho mie nawaza mambo positive zaid...ukiona nimeandika utopolo ujue nimechoka akili siku hiyo..nimekupiyemuMwanamke unawaza deal tu.
Nimefuatilia comment zako kwenye huu uzi nimegundua una vitu ninavyovitaka
Nzi wanapatikana tropical areas mzeek]Katika pitapita zangu zote majuu, nilichowaapreciate na kuona wametupita mbali sana na hatutakuja kuwakuta ni tabia ya usafi, kila kitu kisafi kuanzia mazingira ya nje, makazi, vyakula, usafiri, magari yote mapya, watu wasafi, hukuti nzi hata sehemu moja utatafuta inzi hutamkuta, hadi hewa safi.
Ukifika kule hata ukila chakula cha kimasikini tu ile kukaa miezi miwili mitatu hadi ngozi inabadilika unanawiri, yaani Mungu kawabariki upako wa maisha mazuri hadi ya hewa inakunawirisha hata kama hali yako ya chini tofauti na bongo mtu ana mihela lakini kakomaa utafikiri anachuna ngozi za watu, ukitoka huko kushuka tu uwanja wa dsm, kuanzia harufu ni tofauti kabisa, mazingira tofauti, watu tofauti hafuru ya umasikini imetapakaa kila mahali. Mungu atusaidie waafrica.
Kumaaaa nishaUtakuwa ni msukuma wewe.
Nimekufuatilia muda mrefu kupitia JF nimegunduaApart masuala ya kiroho mie nawaza mambo positive zaid...ukiona nimeandika utopolo ujue nimechoka akili siku hiyo..nimekupiyemu
Yaani umri huu mm nianze kusema masuala ya traako??? Siku ile nilikua kidg bwax...🤣! Shida ya kufakamia alcohol bila kula....!Nimekufuatilia muda mrefu kupitia JF nimegundua
1. Umesoma Physics A level
2. Unaishi Moro town
3. Una nyumba choo/traaako
4. Hupendi umasikini
Kitu pekee ninachotaka kujua umeolewa?
Sio lazima ujibu hili.
Hahaa! Basi ukiwa bwax unaongea vitu vya msingiYaani umri huu mm nianze kusema masuala ya traako??? Siku ile nilikua kidg bwax...🤣! Shida ya kufakamia alcohol bila kula....!
Kwenye kuolewa hata mm mzito kuadmit
Hahahaa...hamna....kama uliona hiyo comment..ingawa najua hakuna..bas nilikua level!Hahaa! Basi ukiwa bwax unaongea vitu vya msingi
Bantu men eat meat not bones!Hahahaa...hamna....kama uliona hiyo comment..ingawa najua hakuna..bas nilikua level!
Kila la kheri mkuu na tuendelee kupambana!Kwa kijiji chenu
Kwa mwanaume kuishi utumwani ni manyanyaso makubwa sana, ndo maana kuchukua watu mateka na kuwapeleka kuwa watumwa ilitumika kama njia ya kutawala watu. Huko ulaya nitaishi tu kwa kufanya kazi za kibalozi, au kwenye mashirika ya kimataifa, au kama mfanyabiashara au mwekezaji, siyo mtumwa...Sasa mkuu umerudi bongo kufanya nini, au uliacha familia? Huku labda kurudi kuwekeza tu!
Naheshimu mawazo/mtazamo wakoKwa mwanaume kuishi utumwani ni manyanyaso makubwa sana, ndo maana kuchukua watu mateka na kuwapeleka kuwa watumwa ilitumika kama njia ya kutawala watu. Huko ulaya nitaishi tu kwa kufanya kazi za kibalozi, au kwenye mashirika ya kimataifa, au kama mfanyabiashara au mwekezaji, siyo mtumwa...