livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,955
- 5,616
Pesa ipo pia
Huko uliko unafamilia ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pesa ipo pia
Ukitaka kwenda huko unafungasha kiroba chako cha mchele kilo 100, unga wa dona na michembe. Maisha safi.
Kuna mdau anadai mshawapiga watu mill 14 @7 mill. Ulianzia na story za Ukraine, Poland sasa ni hii.Moja ya swali ambalo nimeulizwa Sana na wadau humu Ni kuhusu chakula.
Imenibidi nijibu hili kwa kuweka post maana Kuna Mtu amesema yeye amefanya kila aliwezalo kuja na amefanikiwa kwa 90%(anajua mwenyewe kafanyaje) maana yeye ni Mtu anayependa kula na kupiga gambe.
Mimi mwanzo kabisa nilipoingia niseme wazi nilipata changamoto kubwa Sana ya chakula, ulikuwa mtihani Ila baada ya muda nilizoea vyakula vyao na gharama zake taratibu.
Hivyo ni vyema nikaeleza Hali halisi ili Mtu ajue kupoje kwenye suala la chakula huku.
Huku hakuna mama ntilie au mgahawa bubu ambapo utaingia na sh.2000 utaondoka umeshiba, la hasha huku kwenye msosi kuna migahawa ambayo ni ya hadhi kidogo na bei imechangamka ukitaka kula na kushiba andaa 60000 hadi 80000, elfu sitini Hadi elfu themanini.
Karibu vyakula vingi vinapatikana ni pesa yako tu.
Nakutolea mfano tu: kilo ya mchele huku ni Kati ya Tshs 6000 - 8000, na kilo ya nyama ni Kati ya Tshs 70000 - 90000. Yes ni elfu sabini hadi elfu tisini(natamani bongo iwe hivi ili watu waheshimiane)
Hivyo kula wali nyama ni anasa, Mimi chakula changu kikubwa ni mikate, sausage, maziwa, samaki, chips n.k.
Maji ya kunywa Mara nyingi nikienda kwenye kazi nachota ya bomba, ni masafi na mazuri Sana Ila ukitaka kununua ya chupa ni sawa pia.
Kuhusu beer Kuna gharama kidogo Ila bei ni sh.8500 kwa baadhi ya bia na nyingine ni zaidi ya hapo, hadi heineken zipo Ila ni sh 12000. Na pia soda pepsi zipo bei ni humohumo 8500
Suala la mwisho ambalo ungependa kujua ni gharama za ninapoishi, ni chumba kimoja Cha kulala na gharama ni million 2 kwa mwezi.
Nahisi nitakuwa nimejibu maswali ya wadau wengi pamoja na aliyeniuliza.
Chini ni picha moja ya mgahawa nikiwa na maji ya Farris, na vyakula ndani ya huo mgahawa.
Picha nyingine ni bar, huku hata ukiwa bar hakuna kujuana kila mtu afanye mishe zake, hawapendi kabisa kupiga story na mtu wasiyemjua.
😂😂😂 ila machangu akijibanabana anaweza kuwanunua.We mtu kakwambia anashindia mikate mademu wa kizungu atawasoma tu kwenye taarifa. Huyo muulize anapiga nyeto mara ngapi kwa siku.
Huu ntiani sasa dohWapo Africans wengi, unakula mkenya, akizubaa unakula mnaija hivyohivyo wazungu ni ngumu labda wale wa kujiuza
Hii thread iko kitapeli mnoo.
Kuna watu wanakwenda kutapeliwa hapa JF kiulaini sana.
Kwa kuwasaidia baadhi ya watu hapa JF ambao hawajawahi kufika ulaya, taarifa nzima ya gharama na mfumo wa maisha ya eneo lolote husika katika nchi ya Norway inaweza kuipata kwa usahihi wa karibu 99% kwenye mitandao ya taarifa rasmi za nchi ya Norway. Unaweza kujua hata bei ya kununua changadoa na ukapewa, huhitaji kuja kulishwa matango pori ya wajanja na matapeli wa hapa JF.
Kwa mfano kupitia websites za;
-numbeo.com
-fullsuitcase.com
Nenda kote lakini Marekani ndio kila kitu ,Marekani vyakula ni bei chee sana kulinganisha na sehemu nyingine, pia Marekani utapata chakula cha aina yoyote ni wewe tu. Kama unapenda kupika kuna visupermarket vya wahindi,waarabu na wamexico wanauza kila kitu hadi magimbi ya Matombo.Moja ya swali ambalo nimeulizwa Sana na wadau humu Ni kuhusu chakula.
Imenibidi nijibu hili kwa kuweka post maana Kuna Mtu amesema yeye amefanya kila aliwezalo kuja na amefanikiwa kwa 90%(anajua mwenyewe kafanyaje) maana yeye ni Mtu anayependa kula na kupiga gambe.
Mimi mwanzo kabisa nilipoingia niseme wazi nilipata changamoto kubwa Sana ya chakula, ulikuwa mtihani Ila baada ya muda nilizoea vyakula vyao na gharama zake taratibu.
Hivyo ni vyema nikaeleza Hali halisi ili Mtu ajue kupoje kwenye suala la chakula huku.
Huku hakuna mama ntilie au mgahawa bubu ambapo utaingia na sh.2000 utaondoka umeshiba, la hasha huku kwenye msosi kuna migahawa ambayo ni ya hadhi kidogo na bei imechangamka ukitaka kula na kushiba andaa 60000 hadi 80000, elfu sitini Hadi elfu themanini.
Karibu vyakula vingi vinapatikana ni pesa yako tu.
Nakutolea mfano tu: kilo ya mchele huku ni Kati ya Tshs 6000 - 8000, na kilo ya nyama ni Kati ya Tshs 70000 - 90000. Yes ni elfu sabini hadi elfu tisini(natamani bongo iwe hivi ili watu waheshimiane)
Hivyo kula wali nyama ni anasa, Mimi chakula changu kikubwa ni mikate, sausage, maziwa, samaki, chips n.k.
Maji ya kunywa Mara nyingi nikienda kwenye kazi nachota ya bomba, ni masafi na mazuri Sana Ila ukitaka kununua ya chupa ni sawa pia.
Kuhusu beer Kuna gharama kidogo Ila bei ni sh.8500 kwa baadhi ya bia na nyingine ni zaidi ya hapo, hadi heineken zipo Ila ni sh 12000. Na pia soda pepsi zipo bei ni humohumo 8500
Suala la mwisho ambalo ungependa kujua ni gharama za ninapoishi, ni chumba kimoja Cha kulala na gharama ni million 2 kwa mwezi.
Nahisi nitakuwa nimejibu maswali ya wadau wengi pamoja na aliyeniuliza.
Chini ni picha moja ya mgahawa nikiwa na maji ya Farris, na vyakula ndani ya huo mgahawa.
Picha nyingine ni bar, huku hata ukiwa bar hakuna kujuana kila mtu afanye mishe zake, hawapendi kabisa kupiga story na mtu wasiyemjua.
Nikupe connection? Nipo SingaporeNdio..
Huko ulipo liko? Huku halipo
Tanzania hakuna pesa ambazo unaweza kujenga nyumba Kila mwaka.Bado Tanzania nchi nzuri sioni sabau ya watu kukimbilia huko
Sawa babaHii thread iko kitapeli mnoo.
Kuna watu wanakwenda kutapeliwa hapa JF kiulaini sana.
Kwa kuwasaidia baadhi ya watu hapa JF ambao hawajawahi kufika ulaya, taarifa nzima ya gharama na mfumo wa maisha ya eneo lolote husika katika nchi ya Norway inaweza kuipata kwa usahihi wa karibu 99% kwenye mitandao ya taarifa rasmi za nchi ya Norway. Unaweza kujua hata bei ya kununua changadoa na ukapewa, huhitaji kuja kulishwa matango pori ya wajanja na matapeli wa hapa JF.
Kwa mfano kupitia websites za;
-numbeo.com
-fullsuitcase.com
Nishapata mzee ..Nikupe connection? Nipo Singapore
Ni kweli Nina mpango wa kuja uko aise ndo nafanya maaplikesheni hapa ..USA ndo dunia ilipoNenda kote lakini Marekani ndio kila kitu ,Marekani vyakula ni bei chee sana kulinganisha na sehemu nyingine, pia Marekani utapata chakula cha aina yoyote ni wewe tu. Kama unapenda kupika kuna visupermarket vya wahindi,waarabu na wamexico wanauza kila kitu hadi magimbi ya Matombo.
Kuwa serious usaidike ..umepata wapi?Nishapata mzee ..
Niko serious..yuhesieiKuwa serious usaidike ..umepata wapi?
Sawa ..hongera Sana mamaNiko serious..yuhesiei
Aisee usije ongea huvyo mbele ya wazungu.Kuna mtandao wamenipa onyo la kunufungia account yangu kwa kuchangia kuwa wazungu wanakula junk food waafrika wanakula natural food. Wazungu wanataka wasifiwe tu, watu wa ajabu sana.Hapa napiga mishikaki ya nundu na chips kwa elfu sita tu, hata ndio maisha sio huko . Tena vitu vya huku ni vitamu kuliko vya huko ambavyo having ladha
AmenSawa ..hongera Sana mama
Kula papuchi ni million kumiPisi kali zinapatikana au nazo mpaka niwe na mtonyo?
Moja ya swali ambalo nimeulizwa Sana na wadau humu Ni kuhusu chakula.