Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Nimejifunza kutokuwa na hasira humu, ukiwa na hasira tu basi

Kuna vitu ni vya kupuuzia, kwanza hata siamini Kama Kuna mtu katapeliwa na yoyote humu hiyo pesa pia Kwa jinsi watu walivyo humu pasingetosha

Tatizo mtu kaipotezea staftahi, hajui kama atakutana na Lunch, na hii hali ni kila siku, sasa cha kushangaza anakuita Tapeli wakati hana hata hiyo hela ya kutapeliwa....

Stori zozote za mafanikio ni sumu kwa mtu mwenye akili ya kimasikini, ( I second "akili ya kimasikini")
Wanataka uwaletee stori za kimasikini masikini waridhike mko level moja,....
instead ya kutaka kujifunza kutokana mafanikio yako, wao wanakuita Tapeli......
 
Ina maana mkuu mpaka sahiv hujala papuchi ya kizungu, we n wakenya tu na nigerians?
Anaogopa kunyanyapaliwa huyo na hata kupewa msala wa sexual harassment na kurudishwa bongo, unaishi kwa tahadhari zote na bila kujiamini, ndo maana nayaita maisha ya utumwani....
 
Hongera sana kwa kuwagonga mademu wa kizungu. Vipi machangudoa bao moja wanauza bei gani?
Nalog off
 
Hongera sana kwa kuwagonga mademu wa kizungu. Vipi machangudoa bao moja wanauza bei gani?
Nalog off
We mtu kakwambia anashindia mikate mademu wa kizungu atawasoma tu kwenye taarifa. Huyo muulize anapiga nyeto mara ngapi kwa siku.
 
Ungeelezea na kipato cha mtu wa kawaida uko ni shilingi ngapi, ili ndo tujue gharama ni kubwa au ndogo au kawaida.
 
Tunashukuru Per Diem kwa michango yako ya kutupa mwanga wa uko dunia lakn unatutisha asee mlo mmoja utumie 60000 kwa kilo ya nyama kuna maisha apo??

Sent from my SM-G935F using JamiiForums mobile app
Anazingua bado ile roho ya kibongo haijamtoka, unless awe anaishi maisha ya gharama bila kujua
Bei ya heinkein huko ni dola 3
 
Hakuna kitu bei chee Ulaya kama chakula! Nchi nyingi za Ulaya hasa EU zina standard moja ya maisha,tofauti ni ndogo sana. Sijafika Norway ila sidhani kama kilo ya nyama inafika 70,000! Nakumbuka enzi tunapiga box nyama ya kuku tulikuwa tunanunua kwenye box unachagua mapaja au vidari na box kubwa sana tunakula wiki nzima watu watano na wageni wakitokea, box lilikuwa £12, mchele Basmati kg5 ilikuwa £12-15,nyama lamb kilo £3 hivi nyama ya ng'ombe iko juu kama £4 kwa kilo au zaidi kidogo, mazagazaga mengine mostly kwenye makopo kwenye supermarket majuisi,yoghurt,etc bei chee tu. Kwa mishahara ya kubeba box hata minimum wage huumizi kichwa kwenye kula,kuvaa,kulala ndio maana unaona watu wakitoka majuu kuja bongo wanang'aa sana hata kama hawana hela za kujenga magorofa.
Mkuu huyu jamaa hata mie sijamuelewa nia yake .
Anataka kutuelewesha
Anataka kututisha , both?

Mc donalds steers , KFC ,zipo dunia nzima na hawa jamaaa ni kama wana bei zinazolingana kote ,
Nimempa na link ajisomee na uongo wake , gharama zake zote ameziweka juu sijui kwa minajili gani
 
Moja ya swali ambalo nimeulizwa Sana na wadau humu Ni kuhusu chakula.

Imenibidi nijibu hili kwa kuweka post maana Kuna Mtu amesema yeye amefanya kila aliwezalo kuja na amefanikiwa kwa 90%(anajua mwenyewe kafanyaje) maana yeye ni Mtu anayependa kula na kupiga gambe.

Mimi mwanzo kabisa nilipoingia niseme wazi nilipata changamoto kubwa Sana ya chakula, ulikuwa mtihani Ila baada ya muda nilizoea vyakula vyao na gharama zake taratibu.

Hivyo ni vyema nikaeleza Hali halisi ili Mtu ajue kupoje kwenye suala la chakula huku.
Huku hakuna mama ntilie au mgahawa bubu ambapo utaingia na sh.2000 utaondoka umeshiba, la hasha huku kwenye msosi kuna migahawa ambayo ni ya hadhi kidogo na bei imechangamka ukitaka kula na kushiba andaa 60000 hadi 80000, elfu sitini Hadi elfu themanini.

Karibu vyakula vingi vinapatikana ni pesa yako tu.

Nakutolea mfano tu: kilo ya mchele huku ni Kati ya Tshs 6000 - 8000, na kilo ya nyama ni Kati ya Tshs 70000 - 90000. Yes ni elfu sabini hadi elfu tisini(natamani bongo iwe hivi ili watu waheshimiane)

Hivyo kula wali nyama ni anasa, Mimi chakula changu kikubwa ni mikate, sausage, maziwa, samaki, chips n.k.

Maji ya kunywa Mara nyingi nikienda kwenye kazi nachota ya bomba, ni masafi na mazuri Sana Ila ukitaka kununua ya chupa ni sawa pia.

Kuhusu beer Kuna gharama kidogo Ila bei ni sh.8500 kwa baadhi ya bia na nyingine ni zaidi ya hapo, hadi heineken zipo Ila ni sh 12000. Na pia soda pepsi zipo bei ni humohumo 8500

Suala la mwisho ambalo ungependa kujua ni gharama za ninapoishi, ni chumba kimoja Cha kulala na gharama ni million 2 kwa mwezi.

Nahisi nitakuwa nimejibu maswali ya wadau wengi pamoja na aliyeniuliza.
Chini ni picha moja ya mgahawa nikiwa na maji ya Farris, na vyakula ndani ya huo mgahawa.

Picha nyingine ni bar, huku hata ukiwa bar hakuna kujuana kila mtu afanye mishe zake, hawapendi kabisa kupiga story na mtu wasiyemjua.
Msalimie Kissendi Nyanda Ntalima Mpandagoya
 
k]Katika pitapita zangu zote majuu, nilichowaapreciate na kuona wametupita mbali sana na hatutakuja kuwakuta ni tabia ya usafi, kila kitu kisafi kuanzia mazingira ya nje, makazi, vyakula, usafiri, magari yote mapya, watu wasafi, hukuti nzi hata sehemu moja utatafuta inzi hutamkuta, hadi hewa safi.

Ukifika kule hata ukila chakula cha kimasikini tu ile kukaa miezi miwili mitatu hadi ngozi inabadilika unanawiri, yaani Mungu kawabariki upako wa maisha mazuri hadi ya hewa inakunawirisha hata kama hali yako ya chini tofauti na bongo mtu ana mihela lakini kakomaa utafikiri anachuna ngozi za watu, ukitoka huko kushuka tu uwanja wa dsm, kuanzia harufu ni tofauti kabisa, mazingira tofauti, watu tofauti hafuru ya umasikini imetapakaa kila mahali. Mungu atusaidie waafrica.
Aiseeee afu sisi wenyewe tumeizoea tunaona sawa tu.
 
Mkuu ugali upo uko tena isije nikaja kuishi huko narudi Tanzania sina nguvu za chini.
 
Moja ya swali ambalo nimeulizwa Sana na wadau humu Ni kuhusu chakula.

Imenibidi nijibu hili kwa kuweka post maana Kuna Mtu amesema yeye amefanya kila aliwezalo kuja na amefanikiwa kwa 90%(anajua mwenyewe kafanyaje) maana yeye ni Mtu anayependa kula na kupiga gambe.

Mimi mwanzo kabisa nilipoingia niseme wazi nilipata changamoto kubwa Sana ya chakula, ulikuwa mtihani Ila baada ya muda nilizoea vyakula vyao na gharama zake taratibu.

Hivyo ni vyema nikaeleza Hali halisi ili Mtu ajue kupoje kwenye suala la chakula huku.
Huku hakuna mama ntilie au mgahawa bubu ambapo utaingia na sh.2000 utaondoka umeshiba, la hasha huku kwenye msosi kuna migahawa ambayo ni ya hadhi kidogo na bei imechangamka ukitaka kula na kushiba andaa 60000 hadi 80000, elfu sitini Hadi elfu themanini.

Karibu vyakula vingi vinapatikana ni pesa yako tu.

Nakutolea mfano tu: kilo ya mchele huku ni Kati ya Tshs 6000 - 8000, na kilo ya nyama ni Kati ya Tshs 70000 - 90000. Yes ni elfu sabini hadi elfu tisini(natamani bongo iwe hivi ili watu waheshimiane)

Hivyo kula wali nyama ni anasa, Mimi chakula changu kikubwa ni mikate, sausage, maziwa, samaki, chips n.k.

Maji ya kunywa Mara nyingi nikienda kwenye kazi nachota ya bomba, ni masafi na mazuri Sana Ila ukitaka kununua ya chupa ni sawa pia.

Kuhusu beer Kuna gharama kidogo Ila bei ni sh.8500 kwa baadhi ya bia na nyingine ni zaidi ya hapo, hadi heineken zipo Ila ni sh 12000. Na pia soda pepsi zipo bei ni humohumo 8500

Suala la mwisho ambalo ungependa kujua ni gharama za ninapoishi, ni chumba kimoja Cha kulala na gharama ni million 2 kwa mwezi.

Nahisi nitakuwa nimejibu maswali ya wadau wengi pamoja na aliyeniuliza.
Chini ni picha moja ya mgahawa nikiwa na maji ya Farris, na vyakula ndani ya huo mgahawa.

Picha nyingine ni bar, huku hata ukiwa bar hakuna kujuana kila mtu afanye mishe zake, hawapendi kabisa kupiga story na mtu wasiyemjua.

Acha kutisha watu,unless hauna mchongo wa kazi, but kama umepata kazi na unalipwa kihala maisha rahisi sana.
Kima cha chini hapa norway ni mpaka NOK 33,320 ambayo ni sawa na milioni 9 za kibongo. somtu kununua bia 8500 tsh kwa mshahara wa milioni tisa kuna tofauti gani
 
Back
Top Bottom