Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Hv mtaacha lini huu ulimbukeni wa kulinganisha gharama za maisha ya nchi mnazotembelea au kuishi na mlipotoka Tanzania? Acheni kabisa habari za ku convert pesa ya nchi fln na bongo.

Unakuta mtu mzima kabisa na ni msomi katembelea Europe au America akiingia mall anaanza ku convert gharama ya bidhaa kwa pesa za kibongo ilhali maisha na pato la mtu mmj mmj kati ya bongo na nchi nyingi za Ulaya ni tofauti. Ujira wa kupiga Box kwa saa Ulaya au US wa $15( minimum paycheck) kwa saa si sawa na ujira wa mlalahoi wa Viwanda vya wahindi pale Keko. Tujifunze kuishi sehemu husika kwa mazingira yake ya hapo, na siyo mtu unaishi Baltimore au conventry city huku ukitaka uishi kwa gharama za Mbeya Uyole, it's highly impossible. Kumbuka " if ur in Roma, do as Romans do"
 
Mkuu umetufokea....😳😳😳
 
Back
Top Bottom