Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Kwa mnaotaka kuja Norway, ujipange kwa vyakula na vinywaji

Mwanamke unawaza deal tu.
Nimefuatilia comment zako kwenye huu uzi nimegundua una vitu ninavyovitaka
Apart masuala ya kiroho mie nawaza mambo positive zaid...ukiona nimeandika utopolo ujue nimechoka akili siku hiyo..nimekupiyemu
 
k]Katika pitapita zangu zote majuu, nilichowaapreciate na kuona wametupita mbali sana na hatutakuja kuwakuta ni tabia ya usafi, kila kitu kisafi kuanzia mazingira ya nje, makazi, vyakula, usafiri, magari yote mapya, watu wasafi, hukuti nzi hata sehemu moja utatafuta inzi hutamkuta, hadi hewa safi.

Ukifika kule hata ukila chakula cha kimasikini tu ile kukaa miezi miwili mitatu hadi ngozi inabadilika unanawiri, yaani Mungu kawabariki upako wa maisha mazuri hadi ya hewa inakunawirisha hata kama hali yako ya chini tofauti na bongo mtu ana mihela lakini kakomaa utafikiri anachuna ngozi za watu, ukitoka huko kushuka tu uwanja wa dsm, kuanzia harufu ni tofauti kabisa, mazingira tofauti, watu tofauti hafuru ya umasikini imetapakaa kila mahali. Mungu atusaidie waafrica.
Nzi wanapatikana tropical areas mzee
 
Apart masuala ya kiroho mie nawaza mambo positive zaid...ukiona nimeandika utopolo ujue nimechoka akili siku hiyo..nimekupiyemu
Nimekufuatilia muda mrefu kupitia JF nimegundua
1. Umesoma Physics A level
2. Unaishi Moro town
3. Una nyumba choo/traaako
4. Hupendi umasikini
Kitu pekee ninachotaka kujua umeolewa?
Sio lazima ujibu hili.
 
Nimekufuatilia muda mrefu kupitia JF nimegundua
1. Umesoma Physics A level
2. Unaishi Moro town
3. Una nyumba choo/traaako
4. Hupendi umasikini
Kitu pekee ninachotaka kujua umeolewa?
Sio lazima ujibu hili.
Yaani umri huu mm nianze kusema masuala ya traako??? Siku ile nilikua kidg bwax...🤣! Shida ya kufakamia alcohol bila kula....!
Kwenye kuolewa hata mm mzito kuadmit
 
Sasa mkuu umerudi bongo kufanya nini, au uliacha familia? Huku labda kurudi kuwekeza tu!
Kwa mwanaume kuishi utumwani ni manyanyaso makubwa sana, ndo maana kuchukua watu mateka na kuwapeleka kuwa watumwa ilitumika kama njia ya kutawala watu. Huko ulaya nitaishi tu kwa kufanya kazi za kibalozi, au kwenye mashirika ya kimataifa, au kama mfanyabiashara au mwekezaji, siyo mtumwa...
 
Kwa mwanaume kuishi utumwani ni manyanyaso makubwa sana, ndo maana kuchukua watu mateka na kuwapeleka kuwa watumwa ilitumika kama njia ya kutawala watu. Huko ulaya nitaishi tu kwa kufanya kazi za kibalozi, au kwenye mashirika ya kimataifa, au kama mfanyabiashara au mwekezaji, siyo mtumwa...
Naheshimu mawazo/mtazamo wako
 
Meat and fish

Cutlets 14,5 - 14,9 USD = 122 - 125 NOK

Cutting salami 6 USD = 50 NOK per 150g.

Lamb 41,7 USD = 350 NOK

Shrimp 9,5 USD = 79.90 NOK

Fish from 17,8 USD = 149 NOK

[https://www]

Lamb



[https://www]

Fish

Fruits, prices per kg.:

Nectarines 3,6 USD = 29.80 NOK

Strawberries 4,2 USD = 34.90 NOK

Peaches 4,6 USD = 39.00 NOK

Cherry 1,1 USD = 8.90 NOK

Melon 1,2 - 3,6 USD = 10 - 30 NOK

Watermelon 2,3 - 2,6 USD = 19 - 22 NOK

Bananas 2,7 USD = 22.90 NOK

Kiwi 1,8 USD = 15.00 NOK per 6 pieces.

Apricots 2,9 USD = 24.50 NOK for 4 pieces.

Sharon 1,5 USD = 12.50 NOK for 2 pieces.

Pineapple 2,3 USD = 19.50 NOK per 1pc.

Oranges 2,4 USD = 19.90 NOK

Mango 2 USD = 16.90 NOK per 1pc.

Grapes 3,7 - 3,8 USD = 31 - 32 NOK

[https://www]

Melons and watermelons



[https://www]

Bananas



[https://www]

Mango



[https://www]

Grapes



[https://www]

Nuts

Fruits and nuts

Cucumber 2,1 USD = 17.90 NOK

Cauliflower 2,4 USD = 19.80 NOK

Potatoes 4,6 USD = 38.90 NOK per 2.5 kg.

Tomatoes small 6,2 USD = 52 NOK

Tomatoes usual 4,2 USD = 34.90 NOK

Hazelnut and other nuts and mixtures 16,6 USD = 139 NOK kg.

Dairy products

Cheese, soft 9,9 - 16,2 USD = 83 - 136 NOK

Cheese 14,3 - 26,2 USD = 120 - 220 NOK

Milk from 1,4 USD = 12.00 NOK per liter

Yogurt 9,1 USD = 76 NOK per kg.

Kefir 2 USD = 17.10 NOK per kg.

[https://www]

Cheese



[https://www]

Milk, kefir

Bread and cakes

Bread 2,4 - 4,2 USD = 20 - 35 NOK for 500-750 gr.

Bun 0,12 USD = 1 NOK

pastries from 0,72 - 2,27 USD = 6 - 19 NOK

Cupcakes 4,7 USD = 39.80 NOK per 600gr.

Gingerbread 12,5 USD = 104.90 NOK

Biscuits 2,8 USD = 23.85 NOK

Biscuits from 6 USD = 50 NOK

Donuts 3,5 USD = 29.70 NOK for 10 pieces.

[https://www]

Baking



[https://www]

The price of bread

Sweets

Cocoa 7,4 USD = 62 NOK per kg.

90% Chocolate Lindt , price 4,4 USD = 36.50 NOK for 100g.

Premium 90% Chocolate 4 USD = 33.90 NOK for 100g.

Ice-cream 2,5 USD = 21 NOK

[https://www]

Chocolate



[https://www]

Ice cream



[https://www]

Juices

Various food

Vegetable oil 1,4 USD = 11.60 NOK per liter.

Pringles Chips 1,8 USD = 15 NOK per 190 g.

Chips 3,2 - 3,8 USD = 27 - 32 NOK per 275gr.

Coca-Cola 2,2 USD = 18.53 NOK per liter.

Schweppes 1,2 USD = 10 NOK for 0.5l.

Juices 1,4 - 1,5 USD = 12 - 13 NOK per liter

Water 0,63 USD = 5.27 NOK per liter

Canned tuna 0,46 USD = 3.90 NOK per Unit.

Olives canned 47.50 0 USD = NOK per 575 g.

Beer

Beer Crown 3,7 USD = 31.10 NOK per 0.33l.

Beer Heineken 3 USD = 24.80 NOK for 0.5l.

Ready meal per kg.:

Cutlets from 16,6 USD = 139 NOK

Pasta bolognese 15,4 USD = 129 NOK

Lasagna 16,6 USD = 139 NOK

Bacon 17,8 USD = 149 NOK

Steak 20,1 USD = 169 NOK

[https://www]

Ready cutlets



[https://www]

Prices for ready food

Fish prices at a market

Shrimp 29,8 USD = 250 NOK

Lobster 29,8 USD = 250 NOK

Crab 23,8 - 35,8 USD = 200 - 300 NOK

Smoked eel 53,6 USD = 450 NOK

Smoked kit 59,6 USD = 500 NOK

Trout 35,8 USD = 300 NOK

Screenshot_20210605-183902_Google.jpg
 
Back
Top Bottom