Kwa moshi ni wapi ninaweza kupata materials za kutengeneza vipodozi,mafuta na sabuni?

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,771
Hellow wadau, naomba kuuliza kwa moshi ni wapi naweza materials za kutengeneza lotions, mafuta, cream na sabuni?
Wapi wanauza?
 
Zote za kuchanganya kwa ajili ya kutengeneza lotion n,k
Ingia hapo stand kuu (ya mkoa?)
Duka la vipodozi
Latizamana na stand ya hiace za kcmc
Uliza Inno
Atakusaidia haja ya moyo wako
 
Kuna mzee mmoja anaitwa Mchau sijui kama yupo nae anayo materials hizo aliwakula pesa nzuri wastaafu kwa kuwafundisha hizo mambo wakanunua vifaa vya kutengezea na zaidi aliwapiga kwenye ufugaji wa sungura eti kwa mkataba kwamba doctor atakuja kutibu na kwamba watazinunua wao, wakanunua mabanda na sungura wa kuanzia kwa bei mbaya sana mwisho wa siku akwaachia manyoya tu
 
Aisee
 
hahaha
 
Back
Top Bottom