ah huku mmenigusa mno. Wakati naanza kazi nilikutana na demu moja alikuwa manager wa kahoteli flani hivi. Nikamwona mzuri na kumwamini. Nikaanza maandalizi ya kutaka kuvuta ndani. Kabla hata sijatembea naye akanambia hajawahi kufanya tendo hilo. Bahati nzuri nilisafiri nikarudi baada ya miezi kadhaa, akajilta kwenye 18 zangu. Nikalabua lakini kwa kinga,,, ajabu baada ya wiki moja tu akaja na story kuwa ana ball. Niliduwaa maana kama mtu anapata ball kwa condom basi hata ukimwi niliupata basi! Nilifanya test mbalimbali. Asivyokuwa na akili nikampeleka kwenye ultra sound,,,, tukakuta kashiba miezi 3 huko nyuma. Nikaondoka kimtindo. Nikaja kutana naye baada ya mwezi. Akanambia anataka kuacha kazi, na kweli akaacha kazi. Alirudi mjini baada ya miezi miwili hivi,,, akaniomba nimtafutie kazi. Sikuona vibaya,, nikamtafutia kazi. Akafanya kazi na huku mara moja moja akawa anatokea club amabako huwa naenda sana. Cha ajabu sikumwona na ball tena. Nikamwuliza vipi kapeleka wapi ball,,, akasema alifanya abortion. Nilipata trip tena nikaenda mahali kupiga brush kidogo,,, ghafla tukakutana naye kaja kwenye workshop. Ujinga ukarudia pale pale nikasahau,,, sorry nikamsamehe. Akawa tena wa ndani. Alitangulia kurudi huku,,,, cha ajabu narudi akaanza kuto visingizio,,, mara nyumbani kwake kuna ndugu zake na hawatanielewa hivyo nisiwe naenda kwake. Kufanya uchunguzi nikagundua analiendeleza na mtoto wa kaka yangu na anjua kabisa kuwa sisi ni ndugu. Nikamtimua,,,, ndo yakalipuka mengine kuwa na marafiki zangu pia walikuwa wanampitia kwa sana. Nilichoka sanaaaaaaaa tu
ni muhimu kufahamu yamhusuyo mpenzi wako ili kama ni kuchota kama alivyo uchote kuliko kuja jua baadaye!