Kwa Mpenzi Wako - Je, unajali/ulijali ni wangapi aliwahi kutembea nao kabla yako?

not necessarily, ni stratergy ya kujiweka tayari mda wote. kumbuka kuwa sikusema ya kuwa usitrust kabisa, I just think that you should always leave a room for a reasonable doubt.

Binadamu tunatofautiana, lakini wengi sidhani watakuwa tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi na mtu wasiyemuamini. Ya nini kujitafutia matatizo wakati umeshaona dalili zote zinazoashiria kwamba mapenzi yenu hayatadumu? Kama kuna dalili zozote zile za kukutia wasiwasi ni bora uingie mitini haraka sana. Na huu umeme unavyowamaliza watu bado tu utataka kujiingiza kwenye uhusiano kama huo? Life is to precious to take such a risk.

Have a great weekend 🙂
 
Kwa Upande wangu, napenda kujua historia ili nisijekuwa surprised. lakini historia hiyo haitasababisha mimi kumkataa au kutokumuamini.
in fact, I prefer a partner who have had many partners before me.
with that i know he is experienced and maybe ready to settle with me.

Mrembo you will end up with a bunch of kids .. utashtukia you cant even look after your own .. kwenye urithi ndo usiseme

And who told you these guys have there thirst quenched that easily .. the older they become their networks even become stronger so the coverage .. watch out girl!!
 
kwanza anakuuliza ili iweje .. akeep records au ndo mwanzo wa visa .. sasa hapa kama nawewe umeshaona namna gani vipi unamtajia majina ya kwanza ya kakaake, mdogo wake na mjombaake .. akikuuliza wanakaa wapi unamtajia kiukweli kweli .. jina la pili unasita kidogo .. kisa unanyanyuka na huyoooo unaambaa ajaze mwenyewe
 
Mrembo you will end up with a bunch of kids .. utashtukia you cant even look after your own .. kwenye urithi ndo usiseme

And who told you these guys have there thirst quenched that easily .. the older they become their networks even become stronger so the coverage .. watch out girl!!

aa wapi, siamini kuwa watu waliokuwa na wapensi wengi hapo nyuma wanakuwa pia na watoto wengi. mi nafikiri haya hayausiani as long as the person in question plays safe.
kwa upande wangu huwa napunguza wasiwasi mtu akisema ameshawai kuwa na wapenzi wengi. Maana wengi wao ambao hawajapitia haka ka phase wanakujaga kuwa hawashikiki baadae.
 
Binadamu tunatofautiana, lakini wengi sidhani watakuwa tayari kuingia katika mahusiano ya kimapenzi na mtu wasiyemuamini. Ya nini kujitafutia matatizo wakati umeshaona dalili zote zinazoashiria kwamba mapenzi yenu hayatadumu? Kama kuna dalili zozote zile za kukutia wasiwasi ni bora uingie mitini haraka sana. Na huu umeme unavyowamaliza watu bado tu utataka kujiingiza kwenye uhusiano kama huo? Life is to precious to take such a risk.

Have a great weekend 🙂

swala la umeme halina cha wapenzi wengi wala kidogo. Ujanja hapa ni kupima tu kabla ya kulambana. I also think the most important thing is the mind of the person. Inawezaka alikuwa mwingi hapo nyuma but he was playing safe. a
 
Hakuna kitu kibaya kama kujua mpenzi wako anachukuliwa au anamchukua flani..
Hii ni mbaya mno.Nyie jadilini wee lakini ukweli wa kujua katika mapenzi unauma mno.
Ni bora usijue ujifariji kuwa unamega peke yako.
 
words4ever_wallpaper_94.jpg
 
Ah huku mmenigusa mno. Wakati naanza kazi nilikutana na demu moja alikuwa manager wa kahoteli flani hivi. Nikamwona mzuri na kumwamini. Nikaanza maandalizi ya kutaka kuvuta ndani. Kabla hata sijatembea naye akanambia hajawahi kufanya tendo hilo. Bahati nzuri nilisafiri nikarudi baada ya miezi kadhaa, akajilta kwenye 18 zangu. Nikalabua lakini kwa kinga,,, ajabu baada ya wiki moja tu akaja na story kuwa ana ball. Niliduwaa maana kama mtu anapata ball kwa condom basi hata ukimwi niliupata basi! Nilifanya test mbalimbali. Asivyokuwa na akili nikampeleka kwenye Ultra Sound,,,, tukakuta kashiba miezi 3 huko nyuma. Nikaondoka kimtindo. Nikaja kutana naye baada ya mwezi. Akanambia anataka kuacha kazi, na kweli akaacha kazi. Alirudi mjini baada ya miezi miwili hivi,,, akaniomba nimtafutie kazi. Sikuona vibaya,, nikamtafutia kazi. Akafanya kazi na huku mara moja moja akawa anatokea club amabako huwa naenda sana. Cha ajabu sikumwona na ball tena. Nikamwuliza vipi kapeleka wapi ball,,, akasema alifanya abortion. Nilipata trip tena nikaenda mahali kupiga brush kidogo,,, ghafla tukakutana naye kaja kwenye workshop. Ujinga ukarudia pale pale nikasahau,,, sorry nikamsamehe. Akawa tena wa ndani. Alitangulia kurudi huku,,,, cha ajabu narudi akaanza kuto visingizio,,, mara nyumbani kwake kuna ndugu zake na hawatanielewa hivyo nisiwe naenda kwake. Kufanya uchunguzi nikagundua analiendeleza na mtoto wa kaka yangu na anjua kabisa kuwa sisi ni ndugu. Nikamtimua,,,, ndo yakalipuka mengine kuwa na marafiki zangu pia walikuwa wanampitia kwa sana. Nilichoka sanaaaaaaaa tu

Ni muhimu kufahamu yamhusuyo mpenzi wako ili kama ni kuchota kama alivyo uchote kuliko kuja jua baadaye!
 
Hakuna kitu kibaya kama kujua mpenzi wako anachukuliwa au anamchukua flani..
Hii ni mbaya mno.Nyie jadilini wee lakini ukweli wa kujua katika mapenzi unauma mno.
Ni bora usijue ujifariji kuwa unamega peke yako.

---Fidel80, you sound suicidal!
 
aa wapi, siamini kuwa watu waliokuwa na wapensi wengi hapo nyuma wanakuwa pia na watoto wengi. mi nafikiri haya hayausiani as long as the person in question plays safe.
kwa upande wangu huwa napunguza wasiwasi mtu akisema ameshawai kuwa na wapenzi wengi. Maana wengi wao ambao hawajapitia haka ka phase wanakujaga kuwa hawashikiki baadae.

Mrembo sikubaliani na wewe moja kwa moja....

Lakini hako ka sentensi kako ka mwisho kana UKWELI ndani yake, watu ambao walikuwa hawajapitia rambaramba-phase huwa wanakuwaga hatari sana pindi watakapo gusa zile kona, huwa wanapotelea kwenye zile kona tuu......ni kama baadhi ya viongozi wetu.....rambaramba-phase hawakuipitia basi sasa hivi tabu tupu....chupi kiganjani...kona na wao.
 
ah huku mmenigusa mno. Wakati naanza kazi nilikutana na demu moja alikuwa manager wa kahoteli flani hivi. Nikamwona mzuri na kumwamini. Nikaanza maandalizi ya kutaka kuvuta ndani. Kabla hata sijatembea naye akanambia hajawahi kufanya tendo hilo. Bahati nzuri nilisafiri nikarudi baada ya miezi kadhaa, akajilta kwenye 18 zangu. Nikalabua lakini kwa kinga,,, ajabu baada ya wiki moja tu akaja na story kuwa ana ball. Niliduwaa maana kama mtu anapata ball kwa condom basi hata ukimwi niliupata basi! Nilifanya test mbalimbali. Asivyokuwa na akili nikampeleka kwenye ultra sound,,,, tukakuta kashiba miezi 3 huko nyuma. Nikaondoka kimtindo. Nikaja kutana naye baada ya mwezi. Akanambia anataka kuacha kazi, na kweli akaacha kazi. Alirudi mjini baada ya miezi miwili hivi,,, akaniomba nimtafutie kazi. Sikuona vibaya,, nikamtafutia kazi. Akafanya kazi na huku mara moja moja akawa anatokea club amabako huwa naenda sana. Cha ajabu sikumwona na ball tena. Nikamwuliza vipi kapeleka wapi ball,,, akasema alifanya abortion. Nilipata trip tena nikaenda mahali kupiga brush kidogo,,, ghafla tukakutana naye kaja kwenye workshop. Ujinga ukarudia pale pale nikasahau,,, sorry nikamsamehe. Akawa tena wa ndani. Alitangulia kurudi huku,,,, cha ajabu narudi akaanza kuto visingizio,,, mara nyumbani kwake kuna ndugu zake na hawatanielewa hivyo nisiwe naenda kwake. Kufanya uchunguzi nikagundua analiendeleza na mtoto wa kaka yangu na anjua kabisa kuwa sisi ni ndugu. Nikamtimua,,,, ndo yakalipuka mengine kuwa na marafiki zangu pia walikuwa wanampitia kwa sana. Nilichoka sanaaaaaaaa tu

ni muhimu kufahamu yamhusuyo mpenzi wako ili kama ni kuchota kama alivyo uchote kuliko kuja jua baadaye!

duh pole sana mzee --- that happens to young at hearts , umekuwa mzima sasa
 
swala la umeme halina cha wapenzi wengi wala kidogo. Ujanja hapa ni kupima tu kabla ya kulambana. I also think the most important thing is the mind of the person. Inawezaka alikuwa mwingi hapo nyuma but he was playing safe. a

Kadri unavyoongeza idadi ya mechi ndivyo unavyoongeza probability ya kugusa mawayawaya tu. Wewe unataka kucheza mechi tano kwa wiki na timu tofauti, hata kama utakuwa unapima kila asubuhi, haitapunguza uwezekano wako wa kugusa mawayawaya. Wengine wamekuwa addicted na hii kitu hata wanapozeeka bado mapigo yao ni kama ya ujana si unajua kijiko cha jikoni? hakiogopi moto mekoni!!!! Halafu bado kuna wale wanaosema "mtoto mzuri kama yule ukivaa kinga Mungu atakulaani" au "unanivalia kinga mimi, mimi sio malaya kama unataka kutumia kinga katafute CD"!!! Hmmm! umenifurahisha na huo msamiati wako wa kulambana 🙂
 
Ah huku mmenigusa mno. Wakati naanza kazi nilikutana na demu moja alikuwa manager wa kahoteli flani hivi. Nikamwona mzuri na kumwamini. Nikaanza maandalizi ya kutaka kuvuta ndani. Kabla hata sijatembea naye akanambia hajawahi kufanya tendo hilo. Bahati nzuri nilisafiri nikarudi baada ya miezi kadhaa, akajilta kwenye 18 zangu. Nikalabua lakini kwa kinga,,, ajabu baada ya wiki moja tu akaja na story kuwa ana ball. Niliduwaa maana kama mtu anapata ball kwa condom basi hata ukimwi niliupata basi! Nilifanya test mbalimbali. Asivyokuwa na akili nikampeleka kwenye Ultra Sound,,,, tukakuta kashiba miezi 3 huko nyuma. Nikaondoka kimtindo. Nikaja kutana naye baada ya mwezi. Akanambia anataka kuacha kazi, na kweli akaacha kazi. Alirudi mjini baada ya miezi miwili hivi,,, akaniomba nimtafutie kazi. Sikuona vibaya,, nikamtafutia kazi. Akafanya kazi na huku mara moja moja akawa anatokea club amabako huwa naenda sana. Cha ajabu sikumwona na ball tena. Nikamwuliza vipi kapeleka wapi ball,,, akasema alifanya abortion. Nilipata trip tena nikaenda mahali kupiga brush kidogo,,, ghafla tukakutana naye kaja kwenye workshop. Ujinga ukarudia pale pale nikasahau,,, sorry nikamsamehe. Akawa tena wa ndani. Alitangulia kurudi huku,,,, cha ajabu narudi akaanza kuto visingizio,,, mara nyumbani kwake kuna ndugu zake na hawatanielewa hivyo nisiwe naenda kwake. Kufanya uchunguzi nikagundua analiendeleza na mtoto wa kaka yangu na anjua kabisa kuwa sisi ni ndugu. Nikamtimua,,,, ndo yakalipuka mengine kuwa na marafiki zangu pia walikuwa wanampitia kwa sana. Nilichoka sanaaaaaaaa tu

Ni muhimu kufahamu yamhusuyo mpenzi wako ili kama ni kuchota kama alivyo uchote kuliko kuja jua baadaye!

POle sana kakake, Ila minadhani haisaidii maana unaweza ukataka kujua maisha yake ya nyuma kabla yakuwa na wewe napo pia ukadanganywa kama alivyoweza kukudanganya kuwa ni bikira,.. akili za watu zimetofautiana mimi naona tuangalie mwenendo/tabia kabla yakujihusisha na si kujua mwanzo alikuwa na wangapi.
 
"Pale" aliponiuliza, miye niliona vibaya kutomjibu, na nilimjibu kwa namna yangu. Nilizidisha idadi ya wale niliowahi tembea nao mara mbili ili kumwona kama atavumilia na kuhimili kishindo cha hiyo idadi. Maskini; na alihimili, alivumilia. Miye sikutaka kumuuliza, ila "yeye" mwenyewe akasema, "mbona simuulizi?" Nami nikaitikia wito, nikamuuliza. Idadi aliyonitajia ilinipagaisha. Ilikuwa mara mbili ya ile niliyo izidisha mara mbili mimi.-- dot-- dot-- dot, Mwisho.

Moral of the story: Does it really matter how many men/women your sexual partner has ever slept with?!

duuh! Wenzio wanapunguza wewe unaongeza. Usikute na yeye alizidisha makusudi ili aonekane ana maeksipiriens ya kutosha.
Haijalishi, ili mradi muwe salama.
 
swala la umeme halina cha wapenzi wengi wala kidogo. Ujanja hapa ni kupima tu kabla ya kulambana. I also think the most important thing is the mind of the person. Inawezaka alikuwa mwingi hapo nyuma but he was playing safe. a

How do u see If u'ld visit Babu Loliondo b4 consameting! Lucky weekend 2u all!
 
Back
Top Bottom