Kwa mpira huu wa Tanga ulioonyeshwa na Azam namshauri Fei Toto avunje mkataba, anakwenda kuua kiwango

Azam Fc siyo destination nzuri kwa wachezaji wenye malengo ya kufika mbali.

Maana ni rahisi sana kwa wachezaji kubweteka, kutokana na kukosa mashinikizo kutoka kwa mashabiki ambao muda wote wanataka kuona mafanikio ya timu yao kama ilivyo kwa mashabiki wa Yanga na simba.

Mifano ni mingi, muda ni mchache. Mfano mdoho tu; Mudathir wa Azam na huyu wa Yanga, ni watu wawili tofauti!
 
Mm nimeumia sana azam kufungwa na yanga Leo, nashindwa kuelewa uwezo wa wachezaji wao na performance yao uwanjani, ni bora huyo Feit Toto mpelekeni Simba akaamshe amshe, hapo kwenu hakuna kitu.
Azam inaathiriwa na kocha wao.Watafute kocha mgeni.Watafute wachezaji wasio na usimba na yanga.
Wachezaji wetu wengi hawajielewi.Wengi pale Azam ni wakamiaji.Unawaona bora kwa vile wanaikamia Simba.Zaidi ya hapo ni wa kawaida sana
 
Hata wageni wanaowaleta ni hivyo hivyo,wanakuja wamoto then ghafla wanakua wakawaida,we yule dube angekua Simba au yanga au yule akamiko wangekua juu sana
 
Azam inaathiriwa na kocha wao.Watafute kocha mgeni.Watafute wachezaji wasio na usimba na yanga.
Wachezaji wetu wengi hawajielewi.Wengi pale Azam ni wakamiaji.Unawaona bora kwa vile wanaikamia Simba.Zaidi ya hapo ni wa kawaida sana
Azam pale hamna timu , mchezaji anayejielewa pale ni Dube tuuu , wengine wanabutua butua tuuu
 
Mm nimeumia sana azam kufungwa na yanga Leo, nashindwa kuelewa uwezo wa wachezaji wao na performance yao uwanjani, ni bora huyo Feit Toto mpelekeni Simba akaamshe amshe, hapo kwenu hakuna kitu.
Bongo maajabu hayaishi, yani wanafungwa Azzam wanaumia Simba?

Kama unadhani kufika fainali ni mchezo mchezo mbona mbumbumbu mmeishia njiani?
 
Azam inaathiriwa na kocha wao.Watafute kocha mgeni.Watafute wachezaji wasio na usimba na yanga.
Wachezaji wetu wengi hawajielewi.Wengi pale Azam ni wakamiaji.Unawaona bora kwa vile wanaikamia Simba.Zaidi ya hapo ni wa kawaida sana
Vipi sopu nae anaikamia simba? Wewe ni kubwa la mambumbumbu
 
Azam inaathiriwa na kocha wao.Watafute kocha mgeni.Watafute wachezaji wasio na usimba na yanga.
Wachezaji wetu wengi hawajielewi.Wengi pale Azam ni wakamiaji.Unawaona bora kwa vile wanaikamia Simba.Zaidi ya hapo ni wa kawaida sana
Kwa hili la Wachezaji kukamia nakupinga wewe na Mayele pia. Kusema Wachezaji Wana Usimba na Uyanga wanakamia Mechi Kwa ushabiki mnawapaka matope tu.
Tuambie wewe unayewajua;
Idrisu ni shabiki wa........
Kangwa ni shabiki wa....,
Amoah ni Shabiki wa.....
Ndala ni shabiki wa.......
Akaminko ni shabiki wa....
Dube ni shabiki .......
Kipre ni shabiki wa......
Mbombo ni shabiki wa......
 
Makocha wetu wazawa hawana uwezo...

Kali ongala kaua kipaji Tepsi anampa nafasi Lyanga asiejua hata kutuliza mpira.

Azam kama wanataka kufika mbali fukuza yule CEO fukuza na kocha ongala.
 
Mm nimeumia sana azam kufungwa na yanga Leo, nashindwa kuelewa uwezo wa wachezaji wao na performance yao uwanjani, ni bora huyo Feit Toto mpelekeni Simba akaamshe amshe, hapo kwenu hakuna kitu.
Wachezaji wa Azam hawana professionalism.
 
Mm nimeumia sana azam kufungwa na yanga Leo, nashindwa kuelewa uwezo wa wachezaji wao na performance yao uwanjani, ni bora huyo Feit Toto mpelekeni Simba akaamshe amshe, hapo kwenu hakuna kitu.
Kajiue mkuu, sumu ziko madukani au tafuta kamba ujitie kitabzi. Ila pole sana
 
Bongo maajabu hayaishi, yani wanafungwa Azzam wanaumia Simba?

Kama unadhani kufika fainali ni mchezo mchezo mbona mbumbumbu mmeishia njiani?

Yaani simba wamepata maumivu makubwa kwa kipigo alichopata azam, yaani wamekua kama vichaa kujisemasema maneno yasoeleweka njia nzima, thread juu ya thread hata aibu hawana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…