Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatuwawezi Mikia kwa mdomo.hao hao yanga waliofungwa na pamba wameitoa mabingwa wa botswana township rollers walioenda kujiandaa africa kusini kama simba, mpira sio chenga wala pasi mpira ni mbinu na magoli, hao hao yanga mbovu watachukua kombe la africa
Kama hujui mpira ni vyema kukaa kimya. Timu inajenga chemistry baada ya kukaa muda wa kutosha. Inaweza kuwa msimu mmoja au miwili. Mechi tatu ndani ya VPL tayari mnazungumzia mabadiliko. Unadai hata wakae miaka 1,000 hawawezi kubadilika. Wape mwaka mmoja tu ndiyo utoe hukumu.1. Yanga ya msimu uliopita ilikua bora kabsa kuliko msimu huu.
2. Makambo alikua bonge la striker
3.Gadiel ni bonge la beki na Yanga walifanyakosa kubwa kumuacha.
4.Zahera hajui kusajili,hata kwa Makambo alibeti tu kwani madudu ya Kindoki mnayakumbuka
5.Wachezaji wa Yanga wa msimu huu hata wakae pamoja miaka elfu 1000 hawawezi kubadilika na kutengeneza kombinesheni
6 Yanga hii ndio inayocheza mpira mbovu kabsa toka nianze kuishabikia mwaka ya 1992
7.Utaratibu wa kumpa kocha uhuru wa kusajili kwa nchi zetu bado sn kwani huishia kusajili mabinamu na wajomba zake. Hata Ndailagije anahiyo tabia.
8.Sielewi Zahera anafundisha nn mazoezini kwani mpira unaochezwa Yanga haueleweki. Wachezaji hawawezi kipiga pasi za maana,hawana spidi( Wazito sn) ukimuondoa Balama na Ngasa, Mafowadi wote mbele ni mizigo
9. TZ tunawachezaji wazuri sn kuliko hawa maproo wanakuja kupiga hela zetu na kuondoka. Salamba pamoja na mapungufu yake huwezi linganisha na uchafu Moringa. Na hayo tu wakuu. Yanga mbele daima nyuma mwiko.
Endelea Kuota mchana mkuu!simba timu bora imetolewa klabu bingwa raundi ya awali, yanga mbovu bado inasonga mbele, na itabeba kombe
Tuliza ny*** ndugu namagol yenu yakupewaBado kidogo mtavua nguo sokoni yaani wale wahindi mliowasajiri ndiyo mnaona wachezaji bora Sana msimu huu mtanunua Sana mechi mwisho wa siku round ya kwanza nje mnarudi kuimba kibao kata
Njoo tena usome huu utumbo wakosimba timu bora imetolewa klabu bingwa raundi ya awali, yanga mbovu bado inasonga mbele, na itabeba kombe
Imetunzwa vizuriYanga anacheza makundi CAF...tunza hii comments
kamati ya ufundi isikilize maoni ya wadau1. Yanga ya msimu uliopita ilikua bora kabsa kuliko msimu huu.
2. Makambo alikua bonge la striker
3.Gadiel ni bonge la beki na Yanga walifanyakosa kubwa kumuacha.
4.Zahera hajui kusajili,hata kwa Makambo alibeti tu kwani madudu ya Kindoki mnayakumbuka
5.Wachezaji wa Yanga wa msimu huu hata wakae pamoja miaka elfu 1000 hawawezi kubadilika na kutengeneza kombinesheni
6 Yanga hii ndio inayocheza mpira mbovu kabsa toka nianze kuishabikia mwaka ya 1992
7.Utaratibu wa kumpa kocha uhuru wa kusajili kwa nchi zetu bado sn kwani huishia kusajili mabinamu na wajomba zake. Hata Ndailagije anahiyo tabia.
8.Sielewi Zahera anafundisha nn mazoezini kwani mpira unaochezwa Yanga haueleweki. Wachezaji hawawezi kipiga pasi za maana,hawana spidi( Wazito sn) ukimuondoa Balama na Ngasa, Mafowadi wote mbele ni mizigo
9. TZ tunawachezaji wazuri sn kuliko hawa maproo wanakuja kupiga hela zetu na kuondoka. Salamba pamoja na mapungufu yake huwezi linganisha na uchafu Moringa. Na hayo tu wakuu. Yanga mbele daima nyuma mwiko.
Mmh!hao hao yanga waliofungwa na pamba wameitoa mabingwa wa botswana township rollers walioenda kujiandaa africa kusini kama simba, mpira sio chenga wala pasi mpira ni mbinu na magoli, hao hao yanga mbovu watachukua kombe la africa