Kwa mpira niliouona jana Yanga ikicheza,sasa ndo nmejua kuwa...

Zahera atafutiwe kazi nyingne kwani hamna nafsi ya afisa mwamasishaji michango kocha aje mwingne
 
hao hao yanga waliofungwa na pamba wameitoa mabingwa wa botswana township rollers walioenda kujiandaa africa kusini kama simba, mpira sio chenga wala pasi mpira ni mbinu na magoli, hao hao yanga mbovu watachukua kombe la africa
Hatuwawezi Mikia kwa mdomo.

Walienda Sauz eti sehemu ilipoweka kambi timu ya Uingereza wa World Cup ya South Africa. Kana kwamba kambi inazaa ubingwa. Yanga ikachekwa sana kuweka kambi Morogoro eti ilikuwa inakula matikiti.

Imekuja round ya kwanza CAF Champioship. Mikia wametolewa nishai na vibonde UD Songo. Faida ya Kambi Sauz ilikuwa ipi?
 
Kama hujui mpira ni vyema kukaa kimya. Timu inajenga chemistry baada ya kukaa muda wa kutosha. Inaweza kuwa msimu mmoja au miwili. Mechi tatu ndani ya VPL tayari mnazungumzia mabadiliko. Unadai hata wakae miaka 1,000 hawawezi kubadilika. Wape mwaka mmoja tu ndiyo utoe hukumu.
Gadiel alimua mwenyewed kwenda Simba, hakuachwa na Yanga. Kweli Makambo alikuwa striker mzuri lakini waliopo wata perform with time. Naye alianza taratibu.
Halafu jitambulishe kuwa wewe ni 5imba.

Ufinyu huu wa mawazo bahati mbaya haupo kwenye analysis ya mpira tu. Hata katika maisha ya kawaida ni hivyo hivyo. Mtu anafungua biashara leo, anataka super profit kesho.
 
Bado kidogo mtavua nguo sokoni yaani wale wahindi mliowasajiri ndiyo mnaona wachezaji bora Sana msimu huu mtanunua Sana mechi mwisho wa siku round ya kwanza nje mnarudi kuimba kibao kata
Tuliza ny*** ndugu namagol yenu yakupewa
 
kamati ya ufundi isikilize maoni ya wadau
 
hao hao yanga waliofungwa na pamba wameitoa mabingwa wa botswana township rollers walioenda kujiandaa africa kusini kama simba, mpira sio chenga wala pasi mpira ni mbinu na magoli, hao hao yanga mbovu watachukua kombe la africa
Mmh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…