Kwa msemo huu "no jesus no life" kipi kilianza..?

Fungua Biblia,,METHALI 8:22--31

PIA LINGANISHA UNABII TOKA KTABU CHA ISAYA. ZABURI..MIKA(5;2)

itakurahishia kutafiti mwanzo wa Yesu Kupitia Biblia, Ukipata Ktabu Chenye Jina,,,,BIBLIA HUFUNDISHA NINI HASA! kinachochapishwa na mashahidi wa Yehova,. Kinapatikana Bure,,,

Pia Waweza Kukipakua Kwa Www.Jw.Org/sw
 
Yesu ni Mungu, bila yeye hapakufanyika lolote.. (Yohana 1:1_5) including hayo maisha unayotafakar mtoa mada. Pia soma mithali 8:22-36 utaona yesu mwenyewe anajipambanua kuwa ktk kuumba dunia alikuwa begakwa bega na Munga, yesu akiwa stadi wa kazi.. mstari wa 30.
 
Yesu alisema yeye ndiye njia kweli na uzima..so he himself in him is life
unaweza kuprove kwamba yy ndio kweli na uzima..?
if in him there is life,how does that life form in him..?
 
nimetafakar sana ulivyosema apo juu , ukichunguza sana ivi vitu utakataa dini
Ukiona kitu hakiingiliki akilini ujue kuna tatizo. Fuatilia ukweli wa Imani yako. Imani ni kitu kikubwa na Imani inatakiwa iwe na majibu straight forward na ya kueleweka. Haifai kubase imani yako juu ya vitendawili.
 
Yesu alisema yeye ndiye njia kweli na uzima..so he himself in him is life
Mitume yote imekuja kutuonyesha Njia iliyokuwa Sahihi ambayo Mungu anataka Tufuate. Ukitazama kwenye Torah Moses ujumbe huo naye kausema, ukitazama kwenye Quran Mtume(S.W.A) ujumbe huo naye kausema. Iweje auseme Yesu afikiriwe kaudai UMUNGU? Kwanini asieleweke kama sentesi inavyo jieleza?? mbona ni simple tu!
 
Yesu ni Mungu, bila yeye hapakufanyika lolote.. (Yohana 1:1_5) including hayo maisha unayotafakar mtoa mada. Pia soma mithali 8:22-36 utaona yesu mwenyewe anajipambanua kuwa ktk kuumba dunia alikuwa begakwa bega na Munga, yesu akiwa stadi wa kazi.. mstari wa 30.

Twende taratibu ndugu.

Hiyo Yohana1: 1 - 5 ni kauli ya Nani?na 8: 22 - 36 ni kauli ya Nani?
 
Wanaposema no jesus no life wanamaanisha kua usipomuamini jesus hutaishi ile kitu inaitwa uhai wa milele kwamba utakapokufa kama ulikua humuamini yesu basi wewe hutakua na maisha after kifo tena......... Ndo nimeishi miaka yangu yote huo msemo huo nikiuelewa hivyo
 
Nadhani biblia ni kitabu ambacho kinajibu maswali ya wengi sana jaribu kutafuta jibu la swali lako huko
 
Yesu ni Mungu, bila yeye hapakufanyika lolote.. (Yohana 1:1_5) including hayo maisha unayotafakar mtoa mada. Pia soma mithali 8:22-36 utaona yesu mwenyewe anajipambanua kuwa ktk kuumba dunia alikuwa begakwa bega na Munga, yesu akiwa stadi wa kazi.. mstari wa 30.
_mithali 8:22-36 utaona yesu mwenyewe anajipambanua kuwa ktk kuumba dunia alikuwa begakwa bega na Munga, yesu akiwa stadi wa kazi_

Sasa mkuu yesu si ushasema ndo Mungu sasa hapo alikua bega kwa bega na Mungu yupi tena au yupo Mungu mwingine zaidi ya yesu?
 
Ya ngoswe muachieni ngoswe,msijifanye wajuaji kuwatindikia akina wazee wa upako chambi
 
Wanaposema no jesus no life wanamaanisha kua usipomuamini jesus hutaishi ile kitu inaitwa uhai wa milele kwamba utakapokufa kama ulikua humuamini yesu basi wewe hutakua na maisha after kifo tena......... Ndo nimeishi miaka yangu yote huo msemo huo nikiuelewa hivyo
can you prove to me kuwa kuna uhai wa milele..?
halafu huu msemo "no jesus no life" huenda ukawa umeuelewa tofauti hivyo tu ulivyo unamaanisha yeye ndo chanzo cha uhai sasa swali langu ni kipi kilianza yeye au uhai..?
 
Asa mkuu me uhai wa milele nita ku provia vp akati ni stoli na me nimezikuta hapahapa dunian......... Labda nikifa njoo uniulize
 
ha ha! kitu kilichokufa kimepoteza maana nzima ya uhai nitaulizaje kitu mfu..? si ndo kuchanganyikiwa huko!
wacha tunywe uji tulale bongo zi Loading...
 
Ile kuamini tu kuna kitu,mtu,muumba sijui na nini huko juu tayat ni udhaifu.Then ukishaanza kufuata vitabu vya dini tayar umeingia complete kwenye giza nene la kifikra pamoja na kujiwekea wigo wa kutafakari mambo

Imani ni ugonjwa mbaya sana unaoathiri akili ya mwanadamu miaka mingi sana sasa.Imani (hasa katika mungu)inafanya mwanadamu ashindwe kufikiri kitimamu na kuyakabili mazingira yake,imani humfanya afikiri kwamba kuna kitu ama nguvu huko juu mbayo itampa kila anachohita kwa kufanya maombi(sala).Huu ni ujinha wa kiwango cha standard gauge. Nasema ni ujinga sababu kama watu hawa wakieleweshwa wanaweza kuacha kabisa kufikiri vitu vya namna hii.

I don't believe in God and am Happy. Kuamini katika mungu ni maamuzi tu lakini wengi hawajui kua mungu ni idea tu inayorun ubongo wa mwanadamu kwa miaka mingi sana.Idea hii imepandikizwa kwa project maalum tanzi hata kabla ya roman empire!Huu ni mradi maalum wa kusoften akili ya mwanadamu na kumfanya kutawalika kiurahisi.

Ninayo mengi sana ya kuongea but itategemea na maswali.
Think big and come out of the Box

......Free Ideas......
 
Hili swala la kutokea from nothing huwa nashindwa kulilewa mkuu unaweza kutuwekea observations zozote ambazo zinathibitisha kwamba we have come from nothing
Jitahidi kuwa mfikunyuku wa mambo tofauti na hapo utauliza hata maana ya kua mfikunyuku

.......Free ideas......
 
Yesu Ni Mungu .mwenye swali aniulize ila lazima awe anaamini biblia yote ,sio aniambie hapo palibadilishwa na wazungu.
 
HIYO SENTENCE NAVYOELEWA INA MAANA KWAMBA..MAISHA YANAYOONGELEWA HAPO NI MAISHA YALE YA MILELE (KIIMANI KUNA MAISHA BAADA YA KIFO NDO HAYO YA MILELE) SASA ILI UWEZE KUJA KUISHI HAYO MAISHA NDIO UNATAKIWA UWEZE KUMFWATA YESU (YESU ALISEMA 'MIMI NDIMI NJIA YA KWELI NA UZIMA,MTU HAWEZ KUFIKA KWA BABA(MUNGU) ILA KUPITIA MIMI )..UZIMA WA MILELE UPO KWA YESU HALELUYA,BWANA APEWE SIFA... MBARIKIWE
Kwa nn lazima kumfuata yesu?.Kabla ya yesu walimfuata nani?Je wote walienda motoni kwa sababu yesu hakuwepo?
Je yesu alikuja kufanya nn?
Ameondoa madhambi gani?
Je yeye si ni mungu kama msemavyo?
Kwa hiyo kwa haraka haraka alikuja kutuokoa sisi kutoka katika hukumu yake yeye mwenyewe?IDIOT

......Free idea......
 
Ile kuamini tu kuna kitu,mtu,muumba sijui na nini huko juu tayat ni udhaifu.Then ukishaanza kufuata vitabu vya dini tayar umeingia complete kwenye giza nene la kifikra pamoja na kujiwekea wigo wa kutafakari mambo

Imani ni ugonjwa mbaya sana unaoathiri akili ya mwanadamu miaka mingi sana sasa.Imani (hasa katika mungu)inafanya mwanadamu ashindwe kufikiri kitimamu na kuyakabili mazingira yake,imani humfanya afikiri kwamba kuna kitu ama nguvu huko juu mbayo itampa kila anachohita kwa kufanya maombi(sala).Huu ni ujinha wa kiwango cha standard gauge. Nasema ni ujinga sababu kama watu hawa wakieleweshwa wanaweza kuacha kabisa kufikiri vitu vya namna hii.

I don't believe in God and am Happy. Kuamini katika mungu ni maamuzi tu lakini wengi hawajui kua mungu ni idea tu inayorun ubongo wa mwanadamu kwa miaka mingi sana.Idea hii imepandikizwa kwa project maalum tanzi hata kabla ya roman empire!Huu ni mradi maalum wa kusoften akili ya mwanadamu na kumfanya kutawalika kiurahisi.

Ninayo mengi sana ya kuongea but itategemea na maswali.
Think big and come out of the Box

......Free Ideas......
hata hayo mawazo yako yakutoamini kwamba kuna Mungu pia ni Imani na kwa upande mwingine yana madhara kama vile unavyoamini kwamba wanaoamini Mungu ni wajinga, na wao pia wanakuona Mjinga.
 
Back
Top Bottom