Ukiona kitu hakiingiliki akilini ujue kuna tatizo. Fuatilia ukweli wa Imani yako. Imani ni kitu kikubwa na Imani inatakiwa iwe na majibu straight forward na ya kueleweka. Haifai kubase imani yako juu ya vitendawili.nimetafakar sana ulivyosema apo juu , ukichunguza sana ivi vitu utakataa dini
Mitume yote imekuja kutuonyesha Njia iliyokuwa Sahihi ambayo Mungu anataka Tufuate. Ukitazama kwenye Torah Moses ujumbe huo naye kausema, ukitazama kwenye Quran Mtume(S.W.A) ujumbe huo naye kausema. Iweje auseme Yesu afikiriwe kaudai UMUNGU? Kwanini asieleweke kama sentesi inavyo jieleza?? mbona ni simple tu!Yesu alisema yeye ndiye njia kweli na uzima..so he himself in him is life
Yesu ni Mungu, bila yeye hapakufanyika lolote.. (Yohana 1:1_5) including hayo maisha unayotafakar mtoa mada. Pia soma mithali 8:22-36 utaona yesu mwenyewe anajipambanua kuwa ktk kuumba dunia alikuwa begakwa bega na Munga, yesu akiwa stadi wa kazi.. mstari wa 30.
Yesu ni Mungu, bila yeye hapakufanyika lolote.. (Yohana 1:1_5) including hayo maisha unayotafakar mtoa mada. Pia soma mithali 8:22-36 utaona yesu mwenyewe anajipambanua kuwa ktk kuumba dunia alikuwa begakwa bega na Munga, yesu akiwa stadi wa kazi.. mstari wa 30.
_mithali 8:22-36 utaona yesu mwenyewe anajipambanua kuwa ktk kuumba dunia alikuwa begakwa bega na Munga, yesu akiwa stadi wa kazi_Yesu ni Mungu, bila yeye hapakufanyika lolote.. (Yohana 1:1_5) including hayo maisha unayotafakar mtoa mada. Pia soma mithali 8:22-36 utaona yesu mwenyewe anajipambanua kuwa ktk kuumba dunia alikuwa begakwa bega na Munga, yesu akiwa stadi wa kazi.. mstari wa 30.
can you prove to me kuwa kuna uhai wa milele..?Wanaposema no jesus no life wanamaanisha kua usipomuamini jesus hutaishi ile kitu inaitwa uhai wa milele kwamba utakapokufa kama ulikua humuamini yesu basi wewe hutakua na maisha after kifo tena......... Ndo nimeishi miaka yangu yote huo msemo huo nikiuelewa hivyo
Asa mkuu me uhai wa milele nita ku provia vp akati ni stoli na me nimezikuta hapahapa dunian......... Labda nikifa njoo uniulizecan you prove to me kuwa kuna uhai wa milele..?
halafu huu msemo "no jesus no life" huenda ukawa umeuelewa tofauti hivyo tu ulivyo unamaanisha yeye ndo chanzo cha uhai sasa swali langu ni kipi kilianza yeye au uhai..?
ha ha! kitu kilichokufa kimepoteza maana nzima ya uhai nitaulizaje kitu mfu..? si ndo kuchanganyikiwa huko!Asa mkuu me uhai wa milele nita ku provia vp akati ni stoli na me nimezikuta hapahapa dunian......... Labda nikifa njoo uniulize
Jitahidi kuwa mfikunyuku wa mambo tofauti na hapo utauliza hata maana ya kua mfikunyukuHili swala la kutokea from nothing huwa nashindwa kulilewa mkuu unaweza kutuwekea observations zozote ambazo zinathibitisha kwamba we have come from nothing
Kwa nn lazima kumfuata yesu?.Kabla ya yesu walimfuata nani?Je wote walienda motoni kwa sababu yesu hakuwepo?HIYO SENTENCE NAVYOELEWA INA MAANA KWAMBA..MAISHA YANAYOONGELEWA HAPO NI MAISHA YALE YA MILELE (KIIMANI KUNA MAISHA BAADA YA KIFO NDO HAYO YA MILELE) SASA ILI UWEZE KUJA KUISHI HAYO MAISHA NDIO UNATAKIWA UWEZE KUMFWATA YESU (YESU ALISEMA 'MIMI NDIMI NJIA YA KWELI NA UZIMA,MTU HAWEZ KUFIKA KWA BABA(MUNGU) ILA KUPITIA MIMI )..UZIMA WA MILELE UPO KWA YESU HALELUYA,BWANA APEWE SIFA... MBARIKIWE
hata hayo mawazo yako yakutoamini kwamba kuna Mungu pia ni Imani na kwa upande mwingine yana madhara kama vile unavyoamini kwamba wanaoamini Mungu ni wajinga, na wao pia wanakuona Mjinga.Ile kuamini tu kuna kitu,mtu,muumba sijui na nini huko juu tayat ni udhaifu.Then ukishaanza kufuata vitabu vya dini tayar umeingia complete kwenye giza nene la kifikra pamoja na kujiwekea wigo wa kutafakari mambo
Imani ni ugonjwa mbaya sana unaoathiri akili ya mwanadamu miaka mingi sana sasa.Imani (hasa katika mungu)inafanya mwanadamu ashindwe kufikiri kitimamu na kuyakabili mazingira yake,imani humfanya afikiri kwamba kuna kitu ama nguvu huko juu mbayo itampa kila anachohita kwa kufanya maombi(sala).Huu ni ujinha wa kiwango cha standard gauge. Nasema ni ujinga sababu kama watu hawa wakieleweshwa wanaweza kuacha kabisa kufikiri vitu vya namna hii.
I don't believe in God and am Happy. Kuamini katika mungu ni maamuzi tu lakini wengi hawajui kua mungu ni idea tu inayorun ubongo wa mwanadamu kwa miaka mingi sana.Idea hii imepandikizwa kwa project maalum tanzi hata kabla ya roman empire!Huu ni mradi maalum wa kusoften akili ya mwanadamu na kumfanya kutawalika kiurahisi.
Ninayo mengi sana ya kuongea but itategemea na maswali.
Think big and come out of the Box
......Free Ideas......