Kwa msemo huu "no jesus no life" kipi kilianza..?

Mbona unajiuliza maswali kuhusu Yesu na wakati huamini kwamba kuna Dini .acha hofu na Imani yako kaa na imani yako acha kutukana wenzako.
 
Ina maana watu wanaoamini mungu hawafanyi kazi?

Ina maana maendeleo huletwa na wasioamini mungu?

Au sijakuelewa vizuri?
 
Kwa fikra uliyotoa ni kuwa hakutakuwa na Judgement Day kwa watu wasio mfuata Yesu??....definetely every human must be Judged! If one is Not Ressurected then how can he be judged?? Lazima mtu aletwe kwenye Uhai ili Mungu aweze kumhukumu. Na akiletwa kwenye uhai hakuna kufa tena. Kwa hiyo hiyo fikra yako is not possible.
 
Nikikwambia masahani, vyombo vyako vya nyumbani, nguo ulizovaa, gari unayoendesha vyote vimetokea tuu vyenyewe hakuna mtu alivyo vitengeneza je Utanionaje?
 
Some Genesis chapter One, na Kitabu cha John Chapter one.
 
Nikikwambia masahani, vyombo vyako vya nyumbani, nguo ulizovaa, gari unayoendesha vyote vimetokea tuu vyenyewe hakuna mtu alivyo vitengeneza je Utanionaje?
Wakati unaniuliza hivyo fikiria jibu utakalonipa nikikuuliza asili ya mungu wako ni ipiIkiwa unakubali ama unaamini kwamba mungu alitokea tu wala hakuumbwa inakuaje usiamini pia kwamba dunia imetokea tu by chance?.
....Free ideas.....
 
Kumbe na wewe unaamini?
 
Asa mkuu judgment gani tena wkt tulishakombolewa????......... Haina haja ya kuhukumiwa wakati yesu kristo alishabeba zambi zetu zote na kufa nazo msalabani
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu cc tushakombolewa hapa tunaishi tuuu utende zambi usitende zambi we cku ya mwisho ni mbinguni tuuu....... Labda kama kufa kwake kuna maana nyingine... Maana huwez sema kua alikufa kwa ajili ya zambi zetu af uje tena unihukumu zambi gani sasa uliyoniokoa nayo
 
Wakati unaniuliza hivyo fikiria jibu utakalonipa nikikuuliza asili ya mungu wako ni ipiIkiwa unakubali ama unaamini kwamba mungu alitokea tu wala hakuumbwa inakuaje usiamini pia kwamba dunia imetokea tu by chance?.
....Free ideas.....
Twende taratibu. Hakuna mtu aliyezungumza suala la Mungu bado. Kwanza ungejibu swali langu.
 
Asa mkuu judgment gani tena wkt tulishakombolewa????......... Haina haja ya kuhukumiwa wakati yesu kristo alishabeba zambi zetu zote na kufa nazo msalabani
Hiyo ni imani ya kikiristo isiyokuwa na ushahidi wowote wa kuthibitika wa kuhusiana na kukombolewa. Hakuna suala la kukombolewa. Kila mmoja anabeba mzigo wake yeye mwenyewe na atakukumiwa kwa aliyoyafanya.
 
Kasome mwanzo 1:1-10 na yohana 1:1 ukielewa njoo na mrejesho
 
Mkuu hata mimi bado nipo njia panda kama kweli aliupenda ulimwengu pamoja na watu wake kwanini asingemwondoa shetani pamoja na mambo yake mabaya sasa kufa msalabani sisi tumekombolewa kivipi wakati bado kunavitisho vya moto wa milele.
 
ha ha! huo moto sioni hata faida yake kwake huko ni kutekana akili kwa kutumia emotion ya uoga!
 
hata uzima wa milele yesu mwenyewe aliusema(na uzima wa mileee ndio huu wakujue wewe Mungu wa pekee wa kweli...
 
Umekosa mada kweli mkuu..? Kamsaidie shemeji kuku na NAZI
 
Yesu si Mungu, hizo ni hadithi za Waroma kuitawala dunia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…