Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
700,000/3=233,333(marejesho ya mwezi
233,333*60=14,000,000(kama utalipa miaka mi5)
So mkopo utakaopata n around 9,000,000 ( hapo umekata gharama zao za benki)
Asante,lkn bado sijaelewa hapo kwenye 14,000,000.ina maana kiasi hiki ndo atakachopata au?
Atapewa 9,000,000 alafu Atalipa 14,000,000. Nadhani anamaanisha hivyo
Atapewa 9,000,000 alafu Atalipa 14,000,000. Nadhani anamaanisha hivyo
Nenda equity bank hyo unapata 16000000/= kwa miaka 6,utakua unakatwa 3175000/= kwa mwezi.
ila kabla hujakopa jitathmini matumizi yako
Usije ukakopa kwa ajili ya consumption.... weka investment ili kazi ikifutwa uweze kurudisha mkopo
700,000/3=233,333(marejesho ya mwezi
233,333*60=14,000,000(kama utalipa miaka mi5)
So mkopo utakaopata n around 9,000,000 ( hapo umekata gharama zao za benki)
asante,naomba niambie hiyo amount ni yote au wanakata gharama zao?Process zao zikoje ili upate mkopo&inachukua muda gani kupata mkopo?
ujinga huo upate 9mill harafu ulipe mill14 , ,
Mikopo ina bima.
Ulichoandika sio kweli ninachojua inatakiwa mshahara ubaki 1 ya tatu ya basic mfano kama basic ni 700000 unatakiwa mshahara ubaki 233333 kiasi kilichobaki ubaruhusiwa kukopea.
Ulichoandika sio kweli ninachojua inatakiwa mshahara ubaki 1 ya tatu ya basic mfano kama basic ni 700000 unatakiwa mshahara ubaki 233333 kiasi kilichobaki ubaruhusiwa kukopea.
700,000/3=233,333(marejesho ya mwezi
233,333*60=14,000,000(kama utalipa miaka mi5)
So mkopo utakaopata n around 9,000,000 ( hapo umekata gharama zao za benki)
Mkuu Bila Chembe Ya Wasiwasi, Wewe Utakuwa Mtumishi Wa Taasisi Za Fedha, Mshahara Wangu Kama Mtoa Mada Na Mimekopa 9,5000,000 Nadaiwa 14,000,000 Kwa Miaka 5, Mchanganuo Wako Upo Sawa Kabisa