Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa kipindi hiki ambacho wanasimba wanaamini klabu yao imefikia level za kimataifa.