Idrissou02
JF-Expert Member
- Jul 31, 2018
- 354
- 656
Hata dakika 30 hazijapita tangu uweke post hii, tayari ameshatupia mawili huko 🤣🤣🤣Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa kipindi hiki ambacho wanasimba wanaamini klabu yao imefikia level za kimataifa.
Kibu anakuonyesha ujinga wako huko 🤣🤣🤣....Simba hata taifa staz ndo lazima aanze, je makocha wanaonaga nini? ...
Ameku prove wrongMshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa kipindi hiki ambacho wanasimba wanaamini klabu yao imefikia level za kimataifa.
utopolooo bwana... embu angalia matokeo huko 🤣🤣🤣🤣🤣Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa kipindi hiki ambacho wanasimba wanaamini klabu yao imefikia level za kimataifa.
Leo amefunga magoli mawili sijui utaongea Nini, kibu Dennis anahitaji mda ni mchezaji mzuri tatizo Ana papara akiwa maeneo ya goliMshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa kipindi hiki ambacho wanasimba wanaamini klabu yao imefikia level za kimataifa.
Yuko chooni analia kwa aibu mke na watoto wasimsikieLeo
Leo amefunga magoli mawili sijui utaongea Nini, kibu Dennis anahitaji mda ni mchezaji mzuri tatizo Ana papara akiwa maeneo ya goli
Kufunga magoli mawili mechi moja haibadilishi perfomance yake aliyoionesha msimu huu mpaka sasaHata dakika 30 hazijapita tangu uweke post hii, tayari ameshatupia mawili huko 🤣🤣🤣
Achana na Simba wewe jadili timu yako Mpalange FCKufunga magoli mawili mechi moja haibadilishi perfomance yake aliyoionesha msimu huu mpaka sasa