Nasikitika kwamba licha yavikwazo vya US kueka mashinikizo jamaa wanazidi kuchanjambuga
Pia nautabiria vibaya sana huu uzi kukosa wachangiaji leo hii.....
Hmna MKUU nimewaza tu [emoji23][emoji23][emoji23]Haha kwasanabu watumiaji wa Huawei ni wengi nini?
Samsung nazielewa sana maana toka nitumie simu janja sijawahi tumia kinyume na samsung ndio linalonipa ugumuUtakula Chaka, kwa Android hakunaga kama Samsung
Mkuu acha kumtisha jaribu na weweUtakula Chaka, kwa Android hakunaga kama Samsung
Simtishi namuokoa, mie nishajaribu nikasepa.Mkuu acha kumtisha jaribu na wewe
Sikiliza moyo wako, usilete mahaba yako kwa uchina itakula kwako [emoji2][emoji2][emoji2]hapo nimechomekea tu!Samsung nazielewa sana maana toka nitumie simu janja sijawahi tumia kinyume na samsung ndio linalonipa ugumu
ila kubadilika pia sio mbaya ntajitahid japo nafsi inakataa....
hhhhhSikiliza moyo wako, usilete mahaba yako kwa uchina itakula kwako [emoji2][emoji2][emoji2]hapo nimechomekea tu!
Sasa haya matakataka kama A10 au A20 za samsung utafananisha Huawei ipi ?Utakula Chaka, kwa Android hakunaga kama Samsung
Fikiria kwanza kwa nini kuna M series, A series na S series afu pia kuna Note series. Ukishajua kuhusu hilo hutauliza tena swali la kipuuzi kama hili.Sasa haya matakataka kama A10 au A20 za samsung utafananisha Huawei ipi ?
Kwahio Mkuu unanishauri niingie kwa HUAWEI ?!Sasa haya matakataka kama A10 au A20 za samsung utafananisha Huawei ipi ?
Kwa hio umeshindwa kuelezea hayo matakataka ya samsung yana ubora ganiFikiria kwanza kwa nini kuna M series, A series na S series afu pia kuna Note series. Ukishajua kuhusu hilo hutauliza tena swali la kipuuzi kama hili.
Sitaki kukupa samaki, nimekupa nyavu.Kwa hio umeshindwa kuelezea hayo matakataka ya samsung yana ubora gani
DadavuaSitaki kukupa samaki, nimekupa nyavu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa kifupi the High Iq hatuwez kujadiliana na wajumbe wa mitaa ndio maana wanajadili illusions
Samsung gani hiyo na apple ipi???Natumia P30pro..mchina kanikamata hata mimi!
Samsung iPhone niliwashindwa lazima uzurule na charger na power banks, mizigo mizito! Na zikidondoka hata mara 1 kwisha habari yake!
Everyday is Saturday.......................... 😎
Kwa kifupi A series ni mid-range hata specifications na bei zake ziko chini ukilinganisha na S series ambayo ndo flag ship ya Samsung, simu shindani kwenye soko ni S series na ndio maana huwa Kuna event maalamu ya uzinduzi pindi S series inapoingia sokoni Bwana UtamDadavua