Kwa mshangao tena Samsung na Apple zapitwa kwa mauzo na Huawei

Kwa mshangao tena Samsung na Apple zapitwa kwa mauzo na Huawei

Nasikitika kwamba licha yavikwazo vya US kueka mashinikizo jamaa wanazidi kuchanjambuga

Pia nautabiria vibaya sana huu uzi kukosa wachangiaji leo hii.....

Haha kwasanabu watumiaji wa Huawei ni wengi nini?
 
Utakula Chaka, kwa Android hakunaga kama Samsung
Samsung nazielewa sana maana toka nitumie simu janja sijawahi tumia kinyume na samsung ndio linalonipa ugumu

ila kubadilika pia sio mbaya ntajitahid japo nafsi inakataa....
 
Samsung nazielewa sana maana toka nitumie simu janja sijawahi tumia kinyume na samsung ndio linalonipa ugumu

ila kubadilika pia sio mbaya ntajitahid japo nafsi inakataa....
Sikiliza moyo wako, usilete mahaba yako kwa uchina itakula kwako [emoji2][emoji2][emoji2]hapo nimechomekea tu!
 
Sikiliza moyo wako, usilete mahaba yako kwa uchina itakula kwako [emoji2][emoji2][emoji2]hapo nimechomekea tu!
hhhhh
Sina mahaba MKUU kama ntatumia HUAWEI samsung atakua pembeni katulia ntakua napima upepo unaendaje

Ila SAMSUNG kuiacha nikisanga[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa haya matakataka kama A10 au A20 za samsung utafananisha Huawei ipi ?
Fikiria kwanza kwa nini kuna M series, A series na S series afu pia kuna Note series. Ukishajua kuhusu hilo hutauliza tena swali la kipuuzi kama hili.
 
Sasa haya matakataka kama A10 au A20 za samsung utafananisha Huawei ipi ?
Kwahio Mkuu unanishauri niingie kwa HUAWEI ?!

katika simu samsung wamepuyanga niule upuuzi[emoji34][emoji34][emoji34]

Sijui waliwaza nini wakatuletea ujinga kama huu aseee[emoji34][emoji34][emoji34]
 
Fikiria kwanza kwa nini kuna M series, A series na S series afu pia kuna Note series. Ukishajua kuhusu hilo hutauliza tena swali la kipuuzi kama hili.
Kwa hio umeshindwa kuelezea hayo matakataka ya samsung yana ubora gani
 
Kwa kifupi the High Iq hatuwez kujadiliana na wajumbe wa mitaa ndio maana wanajadili illusions
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natumia P30pro..mchina kanikamata hata mimi!
Samsung iPhone niliwashindwa lazima uzurule na charger na power banks, mizigo mizito! Na zikidondoka hata mara 1 kwisha habari yake!

Everyday is Saturday.......................... 😎
Samsung gani hiyo na apple ipi???
Hivi mnadhani hizi simu zimekaa bahati mbaya hapo juu!!!
 
sumsung ipo vzr,
cheap wapo wengi,
kawaid kbs kuzidiw
 
Back
Top Bottom