Kwa msiba mkubwa uliompata MC Pilipili na jinsi alivyopokea hakika nimejifunza mengi

Kinachojadiliwa hapa ni namna alivyopokea taarifa ya msiba wa ghafla wa Mama yake na Mama mdogo na namna alivyoweza kuendelea na shughuli aliyokuwa anaifanya kwa wakati huo mpaka walipomaliza ndio wakaanza na suala la msiba.
swali jingine kwani yeye ndiye wa kwanza kufiwa na ndugu zaidi ya mmoja kwa wakati?je, yeye ndiye wa kwanza kufiwa wakati wakiwa kwenye shughuli ya sherehe? Na je unafahamu kuwa Mwakasege alipata taarifa ya msiba wa mtoto wake akiwa kwenye mahubiri na hakuahirisha, je unakumbuka kuwa kuna mama mzazi wa bwana harusi alikufa siku ya send off na harusi haikuahirishwa bali ilifanyika sambamba na mazishi? kwanini kwa pilipili ionekane ajabu?
 
Kama umesoma maelezo yaliyo hapo kwenye uzi nadhani uzi umejieleza.
 
Dunia imejaa mawazo hasi. Kuna wanaosema ni kafara kana kwamba alitakiwa kuishi milele. Mtuambie na Nyerere nani alimtoa kafara. Si alikuwa baba wa taifa?
Kuhusu nyerere ungemuwahi mr ben kabla hajakata moto umuulize vzr.
 
Mjadaja hafifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…