Papa Mopao
JF-Expert Member
- Oct 7, 2009
- 4,153
- 2,647
Hata kuvaa nguo zingine zenye kubeba ujumbe wa 'naomba hiyo kituuu' ni tosha!Wanawake wengi tuna njia yetu ya kumwonyesha mpenzi wako your in need,,..... sio lazima umtolee macho kumwambia leo naomba au nataka tufanye mapenzi, but unaweza anza kwa vitendo tu