Wanawake wengi tuna njia yetu ya kumwonyesha mpenzi wako your in need,,..... sio lazima umtolee macho kumwambia leo naomba au nataka tufanye mapenzi, but unaweza anza kwa vitendo tu
Umeuliza swali halafu ukajibu mwenyewe kwenye hapo kwenye bluu halafu ukauliza tena hilo hilo swali hapo kwenye nyekundu, by the way how old are you?? I guess swali kama hili hata mtoto wa miaka 17 atakupa straight answer.
Wanawake wengi tuna njia yetu ya kumwonyesha mpenzi wako your in need,,..... sio lazima umtolee macho kumwambia leo naomba au nataka tufanye mapenzi, but unaweza anza kwa vitendo tu
nakubaliana na wewe 100%!
Lakini, one day mwambie, mwambie machoni kwamba una hamu naye, unapenda jinsi anavyokushika kiuno... na mengine mengi,,, mwambie kiila kitu, asipoambiwa na wewe unataka aaambiwe na nani!