Kwa Msimu huu Baleke amethibitisha uwezo wake pamoja na kuja katikati ya msimu

changaule

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2020
Posts
6,039
Reaction score
10,151
Tukiachana na ushabiki wa uyanga wangu, huyu Baleke Simba wamepata mtu mwenye shabaha na nyavu zilipo. Huyu jamaa kaja katikati ya msimu ila alichokionesha uwanjani kitakwimu zinaogopesha sana wapinzani. Tunaweza kuongea kiushabiki tu kuwa kazifunga timu ndogo, lakini tujiulize hizi timu ndogo au dhaifu Mayele pia anakutana nazo lakini Kwanini hazifungi goli 2+?

Sijui kipengele cha utaratibu wa usajili wa mkopo upoje, kwamba mchezaji akipelekwa timu kwa miaka miwili n lazima aitumikie au timu iliyompeleka kwa mkopo wanaweza kumrejesha kikosini muda wowote wakimtaka. Wajuzi mtanifahamisha hilo kama ipo hivyo basi Simba kwasasa ni muda sahihi wa kuangalia namna ya kupata umiliki halali wa huyu mwamba ameonesha kitu kikubwa sana halafu kwa muda mchache sana.

Pamoja na kulia aliye waletea Sawadogo, basi mumshukuru sana kwa huyu Baleke
 
Pamoja na kulia aliye walete Sawadogo, basi mumshukuru pia kwa huyu Baleke
Duh! Nimeangalia aliyeleta uzi nimeshtuka kidogo. Kweli wanasema usimkatie tamaa mtu, muda sahihi ukifika atabadilika tu 🤣😂🤣
 
Tukiachana na ushabiki wa uyanga wangu, huyu Baleke Simba wamepata mtu mwenye shabaha na nyavu zilipo. Huyu jamaa kaja katikati ya msimu ila alichokionesha uwanjani kitakwimu zinaogopesha sana wapinzani. Tunaweza kuongea kiushabiki tu kuwa kazifunga timu ndogo, lakini tujiulize hizi timu ndogo au dhaifu Mayele pia anakutana nazo lakini Kwanini hazifungi goli 2+?

Sijui kipengele cha utaratibu wa usajili wa mkopo upoje, kwamba mchezaji akipelekwa timu kwa miaka miwili n lazima aitumikie au timu iliyompeleka kwa mkopo wanaweza kumrejesha kikosini muda wowote wakimtaka. Wajuzi mtanifahamisha hilo kama ipo hivyo basi Simba kwasasa ni muda sahihi wa kuangalia namna ya kupata umiliki halali wa huyu mwamba ameonesha kitu kikubwa sana halafu kwa muda mchache sana.

Pamoja na kulia aliye walete Sawadogo, basi mumshukuru pia kwa huyu Baleke
Uzuri wako unaongeaga ukweli
 
Kuna ufafanuzi nimeomba, kuhusu swala la mchezaji kwenda kwa mkopo, je timu inaweza kumrudisha kabla hata ya muda wa mkataba kuisha?
Navyojua kila kitu kinafanywa kulingana na makubaliano ya kimkataba waliyoafikiana.

Kama waliweka masharti hayo kwenye mkataba basi wanayo haki.

Uzuri wa mkataba huwa unatoa nafasi kwa pande zote mbili, wanaweza wakamtaka na Simba wakataka hela zaidi kwasababu alivyochukuliwa na wanaootaka kumchukua performance haikuwa sawa.

Kwasababu wakati yupo Tp Mazembe alikuwa hapati nafasi (alionekana mchezaji mwenye kiwango duni)

Maana yake mpaka wanamtaka tena washaona amekuwa improved, kawa improved kwasababu ya vitu alivyoongezewa akiwa Simba.
 
Mimi sio hater kama wewe
Tatizo umejiaminisha kila mtu anayekosoa kwa ku point negative things aonekane hater

Na ndio maana siku ile baada ya mechi nilikuonesha jinsi Nabi akifunguka mbele ya Camera akilaumu performance ya Azizi Ki

Nilikukumbusha kumuita Nabi hater lkwa kumsema negative Azizi Ki lakini haukufanya hivyo
 
Navyojua kila kitu kinafanywa kulingana na makubaliano ya kimkataba waliyoafikiana.

Kama waliweka masharti hayo kwenye mkataba basi wanayo haki.

Uzuri wa mkataba huwa unatoa nafasi kwa pande zote mbili, wanaweza wakamtaka na Simba wakataka hela zaidi kwasababu alivyochukuliwa na wanaootaka kumchukua performance haikuwa sawa.

Kwasababu wakati yupo Tp Mazembe alikuwa hapati nafasi (alionekana mchezaji mwenye kiwango duni)

Maana yake mpaka wanamtaka tena washaona amekuwa improved, kawa improved kwasababu ya vitu alivyoongezewa akiwa Simba.
Sawa japo ni nadharia ya mkataba, kiuhalisia haijulikani mkataba umeeleza yapi. Ila hii ya mkopweshaji kudai pesa sidhani kama kuna kitu kama hcho kwenye mpira. Maana ni wazi kuwa mchezaji anapelekwa timu fulani ili moja akakuze kiwango chake kwa kupata game time na pia anayekopeshwa anakuwa anapata huduma ya mchezaji bure. Embu fikiria migoli anayonufaika Simba kwa kupitia Baleke, halafu Simba hiyo nguvu ya kuwalipisha Tp Mazembe wanaitoa wapi?
 
Tukiachana na ushabiki wa uyanga wangu, huyu Baleke Simba wamepata mtu mwenye shabaha na nyavu zilipo. Huyu jamaa kaja katikati ya msimu ila alichokionesha uwanjani kitakwimu zinaogopesha sana wapinzani. Tunaweza kuongea kiushabiki tu kuwa kazifunga timu ndogo, lakini tujiulize hizi timu ndogo au dhaifu Mayele pia anakutana nazo lakini Kwanini hazifungi goli 2+?

Sijui kipengele cha utaratibu wa usajili wa mkopo upoje, kwamba mchezaji akipelekwa timu kwa miaka miwili n lazima aitumikie au timu iliyompeleka kwa mkopo wanaweza kumrejesha kikosini muda wowote wakimtaka. Wajuzi mtanifahamisha hilo kama ipo hivyo basi Simba kwasasa ni muda sahihi wa kuangalia namna ya kupata umiliki halali wa huyu mwamba ameonesha kitu kikubwa sana halafu kwa muda mchache sana.

Pamoja na kulia aliye waletea Sawadogo, basi mumshukuru sana kwa huyu Baleke
Hii ndiyo aina ya watu wanaotakiwa huku jf, penye ukweli anasema ukweli big up sana
 
Sawa japo ni nadharia ya mkataba, kiuhalisia haijulikani mkataba umeeleza yapi. Ila hii ya mkopweshaji kudai pesa sidhani kama kuna kitu kama hcho kwenye mpira. Maana ni wazi kuwa mchezaji anapelekwa timu fulani ili moja akakuze kiwango chake kwa kupata game time na pia anayekopeshwa anakuwa anapata huduma ya mchezaji bure. Embu fikiria migoli anayonufaika Simba kwa kupitia Baleke, halafu Simba hiyo nguvu ya kuwalipisha Tp Mazembe wanaitoa wapi?
Mkataba wa mkopo kama hujaisha means huyo mchezaji bado ni asset ya hiyo timu ambayo anachezea muda huo

Sheria za Fifa kuhusu loan zinaruhusu Mkopo kuvunjwa. Maamuzi haya yanegemea kufanywa na ule upande ambao ulimtoa mchezaji wake (parent club)

Huo upande ndio wenye kuamua ku terminate mkopo na kumrejesha mchezaji wao.

Lakini kufanya hivyo watahitajika kulipa malipo ya awali waliyokubaliana kwenye mkataba
 
Back
Top Bottom