DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
Kwa msimu wa 10 mfululizo - Mfalme wa soka ulimwenguni Leonel Messi anatimiza magoli 20 au zaidi katika La liga pekee.
:
23 ⚽ 2008-2009
34 ⚽ 2009-2010
31 ⚽ 2010-2011
50 ⚽ 2011-2012
46 ⚽ 2012-2013
28 ⚽ 2013-2014
43 ⚽ 2014-2015
26 ⚽ 2015-2016
37 ⚽ 2016-2017
20 ⚽ 2017-2018
________________________________________________________
Kwenye mchezo wa hapo juzi Barcelona dhidi ya Alaves, Leo Messi alifikisha mchezo wake wa 200 katika dimba la Nou Camp kwenye La liga
__________________________________________________________
Jumla ya Magoli yote aliyofunga ulaya ni 568.
Kila msimu na magoli yake kama tunavyoona hapa chini.
2007 ⚽ 31
2008 ⚽ 22
2009 ⚽ 41
2010 ⚽ 60
2011 ⚽ 59
2012 ⚽ 91
2013 ⚽ 45
2014 ⚽ 58
2015 ⚽ 52
2016 ⚽ 59
2017 ⚽ 50*
Kama kuna sehemu nimekosea rukhsa kunirekebisha__Ahsanteni!