DesertStorm
JF-Expert Member
- Nov 22, 2015
- 3,131
- 2,537
- Thread starter
- #21
Huyu MTU hana mshindani jaman cr7 haitaji kulembwa hatari
Acha ushabikj kaka..mpe sifa zake kiumbe huyu kuwahi kutokea!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu MTU hana mshindani jaman cr7 haitaji kulembwa hatari
Anafungaga hat-trick kwenye El Clasico
Leo yuko vizuri sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Come on dude, whats matters most ni namna ambavyo you can drive the nail home. Kwa taarifa yako penalty ni official goal(s). Inatakiwa uwe mjinga kutokulijua hili. Na jifunze kitu, Messi and CR7 are such good penalty taker unapokuwa unazungumzia magoli yao cumulatively. Tofauti ndogo ni ufundi tu. Look here, CR7 anauwezo wa kupasia nyavu angani, kushoto, kulia, penalties na mipira iliyokufa kwa kiwango kilekile. Unapotumia neno mjinga unafanya vema sana maana wote tunajifunza. So far am not convinced what is new or special from Messi!. Utanisamehe mkuu maana kama ana ingizo jipya ambalo silijui utanisadia.Sasa unatuletea records tena zaidi za mapenalties. Magoli anayofunga Messi kama ni cr7 au wakina di lima wasingeweza. Messi anaakili kuwazidi players wote kama hulijui hilo,anajuwa namna ya kuwatoka defender's. hapa siongei kishabiki kiongozi. Messi hafananishwi na vitu vya kijinga!
alicheza na man u mara mbili man u wakafaAnacheza na Levante na Osasuna ataachaje kufunga
Tulia kidogo; uliwahi kuona mashabiki wanazi wakaamua kufurahia ufundi wa mchezaji wa timu pinzani. Itafute hii you tubeKila mechi yupo vizuri, hakuwahi kushuka kiwango katika soka lake miaka 10 mfululizo. Ukilinganisha na players wengine miaka 3 or 4 wametepeta wakina gaucho hao na wenzake.kazi kukuza matako na kuwendekeza umalaya tu
Tulia kidogo; uliwahi kuona mashabiki wanazi wakaamua kufurahia ufundi wa mchezaji wa timu pinzani. Itafute hii you tubeView attachment 689476
Messi ni Ball Juggler kama walivyo Juggler wengine. Ila kwa rekodi akae pembeni atazame na mkimshabikia kirahisi rahisi hivi atasubiri sana.Hicho ndio kigezo chako kuonekana yeye ni best sio 😀😀😀😀 maradona pia imeshamtokea tena goli la karne sasa___Acha Messi awafundishe mpira unavyochezwa, kama wakina Diego na Pele wamenawa mikono sembuse Gaucho aliepitwa na Iniesta Zidane na Cr7! Just think before you post mkuu.
Kwani mimi nimesemaje?Labda halijui hilo...na sio club hata national team.
- Alipiga hatrick walipokutana na brazil kama sikosei 2012__matokeo yalikuwa Argentina 4-3 Brazil
Sikumbuki zingine
- Alipiga hatrick walipokutana na ecuador kukualifai w/c tena ugenini.
Kwani mimi nimesemaje?
Waulize hata Arsenal na man u wanamfahamu vyema kwenye Uefa.Anacheza na Levante na Osasuna ataachaje kufunga
Kwako wewe Arsenal na Man ndo record breaker when it comes to football going? Acheni mambo haya basiWaulize hata Arsenal na man u wanamfahamu vyema kwenye Uefa.
mfano wewe ungependa barca apambane na tim gani? chelsea sio mda mrefu atapelekewa moto.Kwako wewe Arsenal na Man ndo record breaker when it comes to football going? Acheni mambo haya basi