Kwa msimu wa 10 mfululizo mfalme wa soka ulimwenguni anatimiza magoli 20 au zaidi katika La liga pekee.

Kwa msimu wa 10 mfululizo mfalme wa soka ulimwenguni anatimiza magoli 20 au zaidi katika La liga pekee.

Anafungaga hat-trick kwenye El Clasico

Labda halijui hilo...na sio club hata national team.

  1. Alipiga hatrick walipokutana na brazil kama sikosei 2012__matokeo yalikuwa Argentina 4-3 Brazil

  1. Alipiga hatrick walipokutana na ecuador kukualifai w/c tena ugenini.
Sikumbuki zingine
 
Leo yuko vizuri sana!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Kila mechi yupo vizuri, hakuwahi kushuka kiwango katika soka lake miaka 10 mfululizo. Ukilinganisha na players wengine miaka 3 or 4 wametepeta wakina gaucho hao na wenzake.kazi kukuza matako na kuwendekeza umalaya tu
 
Sasa unatuletea records tena zaidi za mapenalties. Magoli anayofunga Messi kama ni cr7 au wakina di lima wasingeweza. Messi anaakili kuwazidi players wote kama hulijui hilo,anajuwa namna ya kuwatoka defender's. hapa siongei kishabiki kiongozi. Messi hafananishwi na vitu vya kijinga!
Come on dude, whats matters most ni namna ambavyo you can drive the nail home. Kwa taarifa yako penalty ni official goal(s). Inatakiwa uwe mjinga kutokulijua hili. Na jifunze kitu, Messi and CR7 are such good penalty taker unapokuwa unazungumzia magoli yao cumulatively. Tofauti ndogo ni ufundi tu. Look here, CR7 anauwezo wa kupasia nyavu angani, kushoto, kulia, penalties na mipira iliyokufa kwa kiwango kilekile. Unapotumia neno mjinga unafanya vema sana maana wote tunajifunza. So far am not convinced what is new or special from Messi!. Utanisamehe mkuu maana kama ana ingizo jipya ambalo silijui utanisadia.
Generally Messi anabaki ball dancer kama dancers wengine ila kwa mafanikio bado ana safari ya kuifuata.
 
Subiri team Ronaldo wakuporomoshee radi ya matusi, mana ni wajinga sijapata kuona.
 
Kila mechi yupo vizuri, hakuwahi kushuka kiwango katika soka lake miaka 10 mfululizo. Ukilinganisha na players wengine miaka 3 or 4 wametepeta wakina gaucho hao na wenzake.kazi kukuza matako na kuwendekeza umalaya tu
Tulia kidogo; uliwahi kuona mashabiki wanazi wakaamua kufurahia ufundi wa mchezaji wa timu pinzani. Itafute hii you tube
IMG_20180202_224903.jpeg
 
tapatalk_1517603017989.jpeg
pitieni hii. Mimi sijaifanyia kazi hata kidogo nimei copy humuhumu
 
Tulia kidogo; uliwahi kuona mashabiki wanazi wakaamua kufurahia ufundi wa mchezaji wa timu pinzani. Itafute hii you tubeView attachment 689476

Hicho ndio kigezo chako kuonekana yeye ni best sio 😀😀😀😀 maradona pia imeshamtokea tena goli la karne sasa___Acha Messi awafundishe mpira unavyochezwa, kama wakina Diego na Pele wamenawa mikono sembuse Gaucho aliepitwa na Iniesta Zidane na Cr7! Just think before you post mkuu.
 
Messi ni Ball Juggler kama walivyo Juggler wengine. Ila kwa rekodi akae pembeni atazame na mkimshabikia kirahisi rahisi hivi atasubiri sana.
 
Labda halijui hilo...na sio club hata national team.

  1. Alipiga hatrick walipokutana na brazil kama sikosei 2012__matokeo yalikuwa Argentina 4-3 Brazil

  1. Alipiga hatrick walipokutana na ecuador kukualifai w/c tena ugenini.
Sikumbuki zingine
Kwani mimi nimesemaje?
 
Kwani mimi nimesemaje?

El classico. Niliyekuwa namkusudia ni Gide....yeye si anadai Messi "Anacheza na Levante na Osasuna ataachaje kufunga"

  1. Alipiga hatrick walipokutana na brazil kama sikosei 2012__matokeo yalikuwa Argentina 4-3 Brazil

  1. Alipiga hatrick walipokutana na ecuador kukualifai w/c tena ugenini.
Sikumbuki zingine
 
Kwako wewe Arsenal na Man ndo record breaker when it comes to football going? Acheni mambo haya basi
mfano wewe ungependa barca apambane na tim gani? chelsea sio mda mrefu atapelekewa moto.
 
Aende Uingereza au Italia pia.. Asiwe kama panya, mfalme wa shimo lake mwenyewe.
 
Back
Top Bottom