Kwa msimu wa 10 mfululizo mfalme wa soka ulimwenguni anatimiza magoli 20 au zaidi katika La liga pekee.

DesertStorm

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2015
Posts
3,131
Reaction score
2,537

Kwa msimu wa 10 mfululizo - Mfalme wa soka ulimwenguni Leonel Messi anatimiza magoli 20 au zaidi katika La liga pekee.
:
23 ⚽ 2008-2009
34 ⚽ 2009-2010
31 ⚽ 2010-2011
50 ⚽ 2011-2012
46 ⚽ 2012-2013
28 ⚽ 2013-2014
43 ⚽ 2014-2015
26 ⚽ 2015-2016
37 ⚽ 2016-2017
20 ⚽ 2017-2018
________________________________________________________




Kwenye mchezo wa hapo juzi Barcelona dhidi ya Alaves, Leo Messi alifikisha mchezo wake wa 200 katika dimba la Nou Camp kwenye La liga
__________________________________________________________


Jumla ya Magoli yote aliyofunga ulaya ni 568.
Kila msimu na magoli yake kama tunavyoona hapa chini.

2007 ⚽ 31
2008 ⚽ 22
2009 ⚽ 41
2010 ⚽ 60
2011 ⚽ 59
2012 ⚽ 91
2013 ⚽ 45
2014 ⚽ 58
2015 ⚽ 52
2016 ⚽ 59
2017 ⚽ 50*


Kama kuna sehemu nimekosea rukhsa kunirekebisha__Ahsanteni!
 
Katika misimu yake site mtazame hapa CR7
 
Katika misimu yake site mtazame hapa CR7View attachment 689375

Sasa unatuletea records tena zaidi za mapenalties. Magoli anayofunga Messi kama ni cr7 au wakina di lima wasingeweza. Messi anaakili kuwazidi players wote kama hulijui hilo,anajuwa namna ya kuwatoka defender's. hapa siongei kishabiki kiongozi. Messi hafananishwi na vitu vya kijinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…