Kwa msiofahamu mlima kilimanjaro unapumulia mlima rungwe ukiuziba mlima rungwe kilimanjaro inalipuka.

Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro.
Kwa leo ni hayo marry christmass.
Superbug
Unaweza kuweka ushahidi wa hiki au ni story za town
 
Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro.
Kwa leo ni hayo marry christmass.
Superbug
Hata unaowaona wanaokota takataka barabarani walianza km wewe. Ni bora ukatibiwe mapema
 
Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro.
Kwa leo ni hayo marry christmass.
Superbug
Pilau Nyama [emoji23][emoji38]
 
Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro.
Kwa leo ni hayo marry christmass.
Superbug
Tule kwa Kiasi wakuu.

Pilau viungo vikizidi, tutegemee side effects kama hizi.😂😂
 
Daah niliwahi msikia mtaalamu mmoja wa miamba miaka ya nyuma akielezea hilo jambo uhusiano wa Mlima Rungwe na Mlima Kilimanjaro sema nikaliacha ingawaje jamaa alielezea kwa ufasaha sana...
 
Naskia kuna shimo juu ya mlima kilimanjaro, ukizama unaibukia Tanga... hear say hiyo
 
Back
Top Bottom