Kwa msiofahamu mlima kilimanjaro unapumulia mlima rungwe ukiuziba mlima rungwe kilimanjaro inalipuka.

Kwa hiyo wanyakyusa na wasafwa mmewashika wachaga by the balls na mnaweza walipua kutokea Mbeya mkitaka?
 
Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro.
Kwa leo ni hayo marry christmass.
Superbug
Amka kumekucha usije jikojolea kitandani!
 
Daah niliwahi msikia mtaalamu mmoja wa miamba miaka ya nyuma akielezea hilo jambo uhusiano wa Mlima Rungwe na Mlima Kilimanjaro sema nikaliacha ingawaje jamaa alielezea kwa ufasaha sana...
Wanadhani nimekula pilau na maharage kumbe ni jambo la Kweli ila mimi nimeiwasilisha kisimpo sana ili hata vilaza wa humu waelewe.
 
Mambo ya Taaluma ni mapana sana kama sio fani yako utadhani unadanganywa na tatizo kubwa tulilonalo hatusomi vitabu pia...Elimu ya miamba uwakute ma IT wake wanaichambua utafurahi...
 
😂😂😂
Mimi binafsi sikupingi.
Nimecheka kwa kuwa sina utaalam na haya mambo.
 
Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro.
Kwa leo ni hayo marry christmass.
Superbug
Mkuu hii ni fact au ? Imekaa vzr
 
Ni kweli hiyo njia ya chini kwa chini alitengeneza Babu yangu enzi hizo anaishi Moshi alafu kapata mchumba tukuyu ilibidi autoboe mlima kilimanjaro apite chini kwa chini hadi tukuyu akamuone demu wake wakawa wanakutania kwenye mlima Rungwe
 
Iko hivi; KWA mujibu wa geological survey na vulcanicity mlima kilimanjaro una shimo la chini kwa chini mpaka mlima rungwe tukuyu mbeya. Na ikitokea unauziba mlima rungwe basi mgandamizo wa presha msukumo utaufumua mlima kilimanjaro.
Kwa leo ni hayo marry christmass.
Superbug
Pilau limeanza Kazi
 
Uongo,

Isostacy / Equal Standing theory na information zingine zinaconnect Mt. Kilimanjaro na Ngorongoro Caldera

Hata miaka yake inalingana
 
Back
Top Bottom