Kwa msiofahamu mlima kilimanjaro unapumulia mlima rungwe ukiuziba mlima rungwe kilimanjaro inalipuka.

Kwa hiyo wanyakyusa na wasafwa mmewashika wachaga by the balls na mnaweza walipua kutokea Mbeya mkitaka?
 
Amka kumekucha usije jikojolea kitandani!
 
Daah niliwahi msikia mtaalamu mmoja wa miamba miaka ya nyuma akielezea hilo jambo uhusiano wa Mlima Rungwe na Mlima Kilimanjaro sema nikaliacha ingawaje jamaa alielezea kwa ufasaha sana...
Wanadhani nimekula pilau na maharage kumbe ni jambo la Kweli ila mimi nimeiwasilisha kisimpo sana ili hata vilaza wa humu waelewe.
 
Wanadhani nimekula pilau na maharage kumbe ni jambo la Kweli ila mimi nimeiwasilisha kisimpo sana ili hata vilaza wa humu waelewe.
Mambo ya Taaluma ni mapana sana kama sio fani yako utadhani unadanganywa na tatizo kubwa tulilonalo hatusomi vitabu pia...Elimu ya miamba uwakute ma IT wake wanaichambua utafurahi...
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mimi binafsi sikupingi.
Nimecheka kwa kuwa sina utaalam na haya mambo.
 
Mkuu hii ni fact au ? Imekaa vzr
 
Ni kweli hiyo njia ya chini kwa chini alitengeneza Babu yangu enzi hizo anaishi Moshi alafu kapata mchumba tukuyu ilibidi autoboe mlima kilimanjaro apite chini kwa chini hadi tukuyu akamuone demu wake wakawa wanakutania kwenye mlima Rungwe
 
Pilau limeanza Kazi
 
Uongo,

Isostacy / Equal Standing theory na information zingine zinaconnect Mt. Kilimanjaro na Ngorongoro Caldera

Hata miaka yake inalingana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…