Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Ni huyu balozi wa kinywaji cha twistNdiyo nani huyo
Kwani unamlipia wewe ada huko QT?
Anamegwa huyo mbona nae story zake wanazo analiwaMwanaume ndio unakua na tabia hizo
Umefell bro
Kuwa makini,gentlaman hatakiwi kuwa hivyo
Badilika,sipendi wanaume wenye tabia za chuki
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni mwanaume rijali anaetongoza hatongozwi kama wakina fundengeNimuonee wivu kisa nini?
Huyo kutongoza anaweza kuwatongoza waluga luga wenzake wa huko umakondeni.Ni mwanaume rijali anaetongoza hatongozwi kama wakina fundenge
Ila siku we jamaa ukiweza ku focus kwenye mambo yako ukaacha kujipendekeza kwa Diamond utasogea sana kimaisha maana hizi nguvu unazotumia ungeziwekeza kwenye utafutaji ungekuwa mbali sana sasa.