Kwa msiojua mmakonde wa chitoholi anasoma QT

Kwa msiojua mmakonde wa chitoholi anasoma QT

Sawa tufanye atafeli wewe utafaidika nini?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Huyo kutongoza anaweza kuwatongoza waluga luga wenzake wa huko umakondeni.

Hivi unajua hata kutoka na Wolper amepigiwa pande(ametongozewa)?

Hivi unajua alimpata pata vipi huyo mzungu?

Usiongee kitu usichokijua , huyo jamaa ni domo zege ,wanawake anaoweza kuwatongoza ni wale wachafu wachafu wa huko kwao.
Aibu naona Mimi
 
Ila siku we jamaa ukiweza ku focus kwenye mambo yako ukaacha kujipendekeza kwa Diamond utasogea sana kimaisha maana hizi nguvu unazotumia ungeziwekeza kwenye utafutaji ungekuwa mbali sana sasa.
Ni kweli ulichosema, ila ni yale yale tu.. NGUVU ULIZOTUMIA KUMPINGA NAWE UNGEZIWEKA HUKO ULIKOMWAMBIA MWENZIO AZIPELEKE UNGESOGEA...
 
Back
Top Bottom