joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
wewe umefocus umesogea kiasi gani? umeshatafuta nini?,uko mbali wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Qualifying test.QT ndio nini? I'm serious wajameni, nielewesheni.
Nilidhani tunatakiwa kumwombea apate mtoto na afaulu huko QT. Wewe waomwombea afeli kote....ama kweli
Si kila mtu ni bina aa daaam
Elimu ya secondary kwa muda mfupiQT ndio nini? I'm serious wajameni, nielewesheni.
Aibu naona MimiHuyo kutongoza anaweza kuwatongoza waluga luga wenzake wa huko umakondeni.
Hivi unajua hata kutoka na Wolper amepigiwa pande(ametongozewa)?
Hivi unajua alimpata pata vipi huyo mzungu?
Usiongee kitu usichokijua , huyo jamaa ni domo zege ,wanawake anaoweza kuwatongoza ni wale wachafu wachafu wa huko kwao.
Ni kweli ulichosema, ila ni yale yale tu.. NGUVU ULIZOTUMIA KUMPINGA NAWE UNGEZIWEKA HUKO ULIKOMWAMBIA MWENZIO AZIPELEKE UNGESOGEA...Ila siku we jamaa ukiweza ku focus kwenye mambo yako ukaacha kujipendekeza kwa Diamond utasogea sana kimaisha maana hizi nguvu unazotumia ungeziwekeza kwenye utafutaji ungekuwa mbali sana sasa.
Elimu ya secondary kwa muda mfupi
Mfano form one na form 2 wanasoma kwa mwaka 1
Sent using Jamii Forums mobile app