DiasporaUSA
JF-Expert Member
- Aug 27, 2016
- 23,382
- 29,639
👊👊👊Kwani unamlipia wewe ada huko QT?
Yaani kwa uandishi wa huyu Mtu bado ana sifa za kuwa ni 'jamaa?'Ila siku we jamaa ukiweza ku focus kwenye mambo yako ukaacha kujipendekeza kwa Diamond utasogea sana kimaisha maana hizi nguvu unazotumia ungeziwekeza kwenye utafutaji ungekuwa mbali sana sasa.
Joole munduuHance Mtanashati,
Ifike wakati Mods muwe mnapunguza baadhi ya thread humu hasa za kimbeya mbeya kama hizi.
Ni kifupisho cha maneno Qualification Test. Unasoma elimu ya sekondari kwa miaka miwili, hasa wale ambao umri umeenda kuanza kidato cha pili, kwenda cha tatu, halafu cha nne.
Huyu siyo mwanaumethread nyingine mpaka naona aibu mimi, mkuu unatufanya wanaume tudharaulike
Nilidhani tunatakiwa kumwombea apate mtoto na afaulu huko QT. Wewe waomwombea afeli kote....ama kweli
Si kila mtu ni bina aa daaam
Kwani mtoa mada yupo wcb?Hance Mtanashati, Wanaume Wa aina hii ni HATARI SANA PUNGUZA KUWASHWA...wakati yupo WCB mlikuwa mnampamba kwa Kila jambo na hadi sasa nahisi ulichomzidi HARMONIZE ni UMRI TU.
Sent using Jamii Forums mobile app
kaaa suvi