Kwa msukumo wa POMBE kajikuta kamropokea mkewe kuwa anachepuka na Rafiki wa mkewe, mkewe kanitafuta, Shemu nahitaji kesho unikule kisawasawa!!



Kwa hiyo Shem wako kakuona wewe ni mtu wa hovyo, unapenda ngono, hueshimu rafiki yako, upo tayari kulala naye Kama Mnyama asiye na utashi?
 
Hao viumbe ni wetu sote. Hongera comrade, umeokoa ndoa ya rafiki yako. Sasa mke atatulia maana kisasi kishalipwa. Both teams scored.
 
Sawa ila kuna wachawi wanacheza rede kichwani kwako mkuu
 
Mbona mnammaindi jamaa , kwani mmeambiwa mnywe na mlewe. Si nanyie mpita na mademu huko mtaa, acha wake zenu nao wapigwe
 

 
Hao viumbe ni wetu sote. Hongera comrade, umeokoa ndoa ya rafiki yako. Sasa mke atatulia maana kisasi kishalipwa. Both teams scored.
ndio lengo langu Hilo ,niliamua kua act kama stabilizer.


Bora nmemla mie, kuliko kama angeliwa na mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…