Kwa msukumo wa POMBE kajikuta kamropokea mkewe kuwa anachepuka na Rafiki wa mkewe, mkewe kanitafuta, Shemu nahitaji kesho unikule kisawasawa!!

Kwa msukumo wa POMBE kajikuta kamropokea mkewe kuwa anachepuka na Rafiki wa mkewe, mkewe kanitafuta, Shemu nahitaji kesho unikule kisawasawa!!

Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto.

Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni.

Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem).

Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa akalopoka "Wee ukininyima K, Rafiki yako Kila siku ananipa nikitaka ".

Sasa Mkewe kalipuka, kalibeba , usiku huohuo Mke akamtafuta Rafiki yake , kumgombeza kwann anatembea na Mumewe !.

Mke wa Jamaa katika kutafuta Amani, akaishia kunitafuta, nikamshauri shaurii hapo weeeee nikimsihi asipanick, ni pombe tuuu, lakini mwanamke kakomaa, "Shemu mlevi na mwenye hasira ndio watu wanaosema kweli".

Leo Shem wangu ananitafutaa, uko wapi? Nikajibuwa Niko job, Basi nakuja.

Akaja mida ya saa 10, sikuwa na wagonjwa, hivyo tukaanza piga Stori, Demu akaanza kuliaa weee!!.

Nikampanga panga kajifuta machozi akasepaa.

Mida ya saa Moja ananitumia meseji

"Shem nahitaji kesho unikule kisawasawa mpaka niwe na Furaha ".

Kisasi Cha Mwanamke, Huwa ni Mpaka aliwe tu!!.

Kwa hiyo Shem wako kakuona wewe ni mtu wa hovyo, unapenda ngono, hueshimu rafiki yako, upo tayari kulala naye Kama Mnyama asiye na utashi?
 
Hao viumbe ni wetu sote. Hongera comrade, umeokoa ndoa ya rafiki yako. Sasa mke atatulia maana kisasi kishalipwa. Both teams scored.
 
Ndo utajuaa mwenyeweee, Mimi nmeshakuambia, Ungekua Ke, ukawa kibonge, ningekuPM.

Ona jinsi mwanamke anvyojisikiaa Raha akiwa anadate na Daktari.

Kwanza Hela zetu zipo nje nje maana zinapatikana kirahisi.

Alafu Kuna Ile hali anakuambia, Baby nmekumiss, Basi unamwambia Njoo kazin huku

Anafika Getini walinzi wanamsumbuasumbua.

Anakuoigia simu...Baby walinzi wananisumbua hapa..

Basi KIDUME unatoka zako Ofisin, na umechomekea Balaa, na Koti lako jeupeee linang'aaa, na mawanj yako ,na ndevu umeziachia.

Unaenda mpaka Getini, unamfataa unarudi naye Ndani.

Kuna wakati unamuweka Mahali akae akusubiri kidogo, pale alipokaa anasikia Ndugu wa wagonjwa wanakusifia wewe KIDUME " jamaan Huyu Daktari ana Moyo mzuri, anahudumia vizuriii, kwakweli Mungu ambariki".

Mmeona eeehhh , unajichukulia alamaaa mapemaa !!.

Unakuja kumuita Demu wako, ni fuluuuu kujimwambafai tuuuu 😂😂, anajiona anatembea na mwanaume aloshuka Toka juu Kwa baba !!.

Hayaa, Sijui mama yake anashinda, utasikia, Mama ngoja nimpigie mkweo hapa ... Unapigwa , Unaenda ,unamchek mama, unamtafuta dawa, anatumia anapona 😂😂

Hizo zote ni alamaaa tu unajibebea.

Kwa nini usipewe Mbususu Tano yako.

Nyie semeni yote, Nachowaambia nikwamba, kama ni Udaktari nishakua Daktari, Mfanye mnachotaka 😂😂😂😂😂

Mbuzi nyinyi , Mimi sikuwaambia muwe na matope kichwan badala ya Akili, matokeo yake mmeeenda kusomea vitu vya ajabu ajabu kabisaaa ambavyo havina impact kwenye Maisha ya mtanzania .

Kama vipi rudini shuleee
Sawa ila kuna wachawi wanacheza rede kichwani kwako mkuu
 
Mbona mnammaindi jamaa , kwani mmeambiwa mnywe na mlewe. Si nanyie mpita na mademu huko mtaa, acha wake zenu nao wapigwe
 
Huyu Jamaa ni Jamaangu , ni Mpiga pombe sana. Sasa ana Mke na watoto.

Mke wake ana rafiki yake ( shosti) kindaki ndaki wa kusindikizana mpaka saluni.

Kumbe jamaa alimzunguka mkewe akawa anakula Shost wa mkewe ( Shem).

Sasa Jamaa Jana alikua kalewa pombe, wamegombana na mkewe, mwisho jamaa akalopoka "Wee ukininyima K, Rafiki yako Kila siku ananipa nikitaka ".

Sasa Mkewe kalipuka, kalibeba , usiku huohuo Mke akamtafuta Rafiki yake , kumgombeza kwann anatembea na Mumewe !.

Mke wa Jamaa katika kutafuta Amani, akaishia kunitafuta, nikamshauri shaurii hapo weeeee nikimsihi asipanick, ni pombe tuuu, lakini mwanamke kakomaa, "Shemu mlevi na mwenye hasira ndio watu wanaosema kweli".

Leo Shem wangu ananitafutaa, uko wapi? Nikajibuwa Niko job, Basi nakuja.

Akaja mida ya saa 10, sikuwa na wagonjwa, hivyo tukaanza piga Stori, Demu akaanza kuliaa weee!!.

Nikampanga panga kajifuta machozi akasepaa.

Mida ya saa Moja ananitumia meseji

"Shem nahitaji kesho unikule kisawasawa mpaka niwe na Furaha ".

Kisasi Cha Mwanamke, Huwa ni Mpaka aliwe tu!!.

IMG_8002.jpg
 
Back
Top Bottom