Boeing 747
JF-Expert Member
- Mar 30, 2018
- 3,515
- 9,415
Juzi kati nilikuwa najadiliana na fundi mmoja kuhusu catalytic converter ya gari kama kuna namna ya kuisafisha ili kupunguza carbon..
Fundi akaniambia hiyo dawa yake ni kuiondoa mazima na kuna mahali zinauzwa..
Nikamwambia hapana tukitoa gari litawasha CHECK ENGINE LIGHT.....akanijibu ikiwasha CEL tunatoa hiyo bulb ya Check engine ili kwenye dash tusione kama inawaka kwa sababu ndiyo hivyo huwa wanafanya..
My take....
Gari lako linaweza likawasha check engine fundi akakuambia kama upo busy job...niambie nikachuke gari niizime hiyo taa uje uchukue gari jioni.. kwa kifupi nimegundua mafundi wengi wanaharibu tu ile bulb na kukurudishia gari lakini tatizo husika linabaki pale pale mfano kama ni sensor imekufa inabakia kuwa mbovu vile vile
Ndiyo maana kila kukicha watu hawaishi kuja hapa jukwaani kulalamika wapi nitapata engine used yangu imekufa...kumbe chanzo ni mafundi wetu..sisemi wote ila mafundi wengi wanapenda short cut ili mradi wapate pesa na hawapendi kujiongeza kusoma.
Nimeona nitoe haya ili uwe makini na hawa jamaa wanaojiita mafundi.
Sent using Jamii Forums mobile app