huu mfano wako unatuAngusha watu Wa mziki na vyombo vyake ...kwan subfwoofer si ni speaker pia?? au hujui
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huu mfano wako unatuAngusha watu Wa mziki na vyombo vyake ...kwan subfwoofer si ni speaker pia?? au hujui
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]si kwamba tunawaponda boss...Hahahaha wakuu mbona mnatutupia sana mawe aisee..mnatukatisha sana tamaa ..
Lkn na nyie mmezidi kuleta dharau kwa mafundi.. unakuja nakutajia bei ya chek up nakwambia elfu 50 unawaka na kulalama kweli kweli so mnataka mfanyiwe vipi mnasahau check up ndio ufundi wenyewe na sio kubadilisha au funga spea??. Eti unakuja na dharau kwani mashine bei gani wengine wanasema mm mwenyewe ni mtu wa IT sema nakugawia riziki tuu hiyo softwere naweza install na kupima gari unamwambia basi fanya hivyo then lete nikupimie bure..unakuja na gari yako ya milion 10 au 8 sijui 5 unaleta dharau kwa fundi wakati fundi garama ya mashine zake ni mara 2 au 3 ya dhamani ya gari yako..
Hilo gari inaelekea liliteseka ni vile tu lilikuwa halisemiIla mimi nilishawahi kufanyiwa hicho kitu baada ya fundi kuangalia tatizo na kutokuliona aliona solution ni kutoa bulb na maisha yakaendelea,mpaka nilipokuja kuuza hiyo gari ndani ya miaka ipatayo 2 hivi,haukusumbua chochote kwenye engine..