Hahahaha wakuu mbona mnatutupia sana mawe aisee..mnatukatisha sana tamaa ..
Lkn na nyie mmezidi kuleta dharau kwa mafundi.. unakuja nakutajia bei ya chek up nakwambia elfu 50 unawaka na kulalama kweli kweli so mnataka mfanyiwe vipi mnasahau check up ndio ufundi wenyewe na sio kubadilisha au funga spea??. Eti unakuja na dharau kwani mashine bei gani wengine wanasema mm mwenyewe ni mtu wa IT sema nakugawia riziki tuu hiyo softwere naweza install na kupima gari unamwambia basi fanya hivyo then lete nikupimie bure..unakuja na gari yako ya milion 10 au 8 sijui 5 unaleta dharau kwa fundi wakati fundi garama ya mashine zake ni mara 2 au 3 ya dhamani ya gari yako..