Kwa mtaji wa 1000 sijiulizi biashara ya kufanya

PAGAMECO

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
1,206
Reaction score
1,237
Yani Kwa Hali Ilivyo Sasa Hivi Kwa Mtaji Wa 1000 Mpaka 500sh. Siulizi Biashara Gani Ya Kufanya Direct Naingia Kuinvest Kwenye Betting Company !! Je wewe
Unapokuwa Na Buku Mpaka Jero Mkononi Unafikiria Kuifanyia Nini???? πŸ˜‰ πŸ˜‰ 😎
 
Kucheza tu biko au tatu mzuka
 
Yani Kwa Hali Ilivyo Sasa Hivi Kwa Mtaji Wa 1000 Mpaka 500sh. Siulizi Biashara Gani Ya Kufanya Direct Naingia Kuinvest Kwenye Betting Company !! Je wewe
Unapokuwa Na Buku Mpaka Jero Mkononi Unafikiria Kuifanyia Nini???? πŸ˜‰ πŸ˜‰ 😎

KULA TU CHIPS AU PIGA KAHAWA BHAAAS.......AU MPATIE DOGO AKALIE MIHOGO SHULE
 
Nanunua vi A B C D vile wanakula watoto km chama ivi,,,nauza
 
Yani Kwa Hali Ilivyo Sasa Hivi Kwa Mtaji Wa 1000 Mpaka 500sh. Siulizi Biashara Gani Ya Kufanya Direct Naingia Kuinvest Kwenye Betting Company !! Je wewe
Unapokuwa Na Buku Mpaka Jero Mkononi Unafikiria Kuifanyia Nini???? πŸ˜‰ πŸ˜‰ 😎
bangi uwe unavuta mchana haikufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…