Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naonja msisimko
Kwa hiyo 1000 utapata robo kilo ya karangaKununua Karanga..natia kwenye ungo,natafuta kijiko/kisoda...kuonja bure,kijiko mia
Yani Kwa Hali Ilivyo Sasa Hivi Kwa Mtaji Wa 1000 Mpaka 500sh. Siulizi Biashara Gani Ya Kufanya Direct Naingia Kuinvest Kwenye Betting Company !! Je wewe
Unapokuwa Na Buku Mpaka Jero Mkononi Unafikiria Kuifanyia Nini???? 😉 😉 😎
Kumbe na ww ni mdau mkuu?Kucheza tu biko au tatu mzuka
Hahaa ndo nataka nianzeKumbe na ww ni mdau mkuu?
Huo ni wizi kama wizi mwingineHahaa ndo nataka nianze
bangi uwe unavuta mchana haikufaiYani Kwa Hali Ilivyo Sasa Hivi Kwa Mtaji Wa 1000 Mpaka 500sh. Siulizi Biashara Gani Ya Kufanya Direct Naingia Kuinvest Kwenye Betting Company !! Je wewe
Unapokuwa Na Buku Mpaka Jero Mkononi Unafikiria Kuifanyia Nini???? 😉 😉 😎
Hivi Bado Haujavunja Ungo Tukucheze Ngoma!!bangi uwe unavuta mchana haikufai