Kwa mtaji wa 25 million nifanye biashara gani?

Mandison,
Fungua barbershop kwa 10ml, unakuwa na viti vitano, kila kitu kwa Week unalipwa 100,000/= kwa week jumla laki tano, ukipiga kwa mwezi una 2ml. Maji umeme na vifaa wanajua nunulia wenyewe. Wewe unahusika katika matengenezo ya vifaa kama vikiharibika au kuitaji service, kama ac, viti, jenereta, mashine na kulipia kodi ya mwezi tu. Mishahara wanajilipa wenyewe.
 
Reactions: len
Kwa mwaka hela yako imerudi na faida juu. Miaka mwingine unakula faida tu.
 
Too petty
 

Nimependa hii mkuu, asante
 
Nunua I.S.T tatu used kwa mtu lakini zilizo katika hali nzuri kuanzia namba C au D kwa bei ya 7m kila moja. Jumla 21m. Milioni 2 kushughulikia uhamisho wa umiliki na vibali. Jiunge na Uber tafuta vijana watatu mtaani waliomaliza chuo wenye driving licences na upajue kwao wanapoishi na wawe na wadhamini wa kueleweka. Kila siku kila mmoja akuletee Tshs 40k jumla ni 120k kwa siku kwa mwezi ni 3.6 m. Kwa mwaka ni 43,200,000.
 

Aise wazo zuri sana pia, sijui una experience nayo kabisa?
 
Local advice
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…