Mtetezi.com
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 3,134
- 3,584
Mkuu unauhakika uber anaweza kulaza 40 per day?Nunua I.S.T tatu used kwa mtu lakini zilizo katika hali nzuri kuanzia namba C au D kwa bei ya 7m kila moja. Jumla 21m. Milioni 2 kushughulikia uhamisho wa umiliki na vibali. Jiunge na Uber tafuta vijana watatu mtaani waliomaliza chuo wenye driving licences na upajue kwao wanapoishi na wawe na wadhamini wa kueleweka. Kila siku kila mmoja akuletee Tshs 40k jumla ni 120k kwa siku kwa mwezi ni 3.6 m. Kwa mwaka ni 43,200,000.
Biashara ya kutoa mbao Iringa kupeleka sehemu zenye upungufu ni deal, jaribu!!Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/-m ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Na zaidi tena hapo dereva anakuwa ameshachukua chakeMkuu unauhakika uber anaweza kulaza 40 per day?
Ushauri mzuri lakini usiweke mayai yote kwenye kikapu kimoja,anza na moja ukiona unalipa faster weka ya pili sikilizia miezi sita then utaongeza ukipenda kutokana na production.Mkuu unauhakika uber anaweza kulaza 40 per day?
Mkuu lete mrejesho Basi, biashara ipi unayoona inakutoa? Au bado upo kwenye research?Sijawahi kufanya biashara ya aina yeyote isipokuwa nimefanikiwa kukusanya kiasi cha Tshs 25/-m ambazo nafikiria kujiajiri kwa kufanya biashara.
Naomba wazoefu wa Jiji la Dar mnipe ushauri juu ya biashara ya kufanya tafadhali.
Na watu wanaumwa deile, so wazo la mdau hapo juu la kifungua duka la dawa baridi almaarufu famasi ni wazo zuri kama unahitaji biashara stablewatu kila Siku lazima wale chakula na kila Siku watu wanasafiri angalia kati ya hizo zinafaa
Iko barabarani, Karibu na Mlimani cityAsante mkuu, site nzuri napata wapi?
Na zaidi tena hapo dereva anakuwa ameshachukua chake
usithubutuForex trading
Mtoto mmoja akilipia 30,000*8=240,000 hayo ndo mauzo yako ya mwezi usizidishe 30 maana inalipwa mara moja kwa mwezi kifupi biashara hiyo hailipiWazo tu sijui kama pesa yako itatosha: nunua Gari aina ya Noah alafu utafute wazazi ambao watoto wao wanasoma shule za mbali kidogo kuwapunguzia gharama za usafiri mtoto mmoja alipie elf 30 kwa mwezi, ukipata watoto 8 ina maana utapata 240000× siku 30 utapata 7200000 toa gharama za mafuta kila siku 20000 ×30=600000 utabakiwa na 6600000, service ya Gari laki 200,000 emergency 200,000 utabakiwa na 6200000, dereva ww mwenyewe. Hy ni rough calculation kukosoa ruksa