Kwa mtaji wa 3.5M inatosha kuanzia duka la spea za TV, Radio, simu na vifaa vingine vya umeme?

GOD my watcher

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2019
Posts
298
Reaction score
271
Heri kwenu sote wanajukwaa mlioalikwa kwenye uzi huu kama nilivyonena hapo juu.

mimi ni kijana nipo kuomba ushauri juu ya biashara ya kufungua duka la spear ya vitu vya kieletronics kama ambayo baadhi nmevitaja juu..pia ikumbukwe mimi ni fundi wa hivyo vitu.

Eneo nililopanga kufungua ni kahama au katoro pia kama kuna sehem nyingine yenye watu wengi ambayo haina mafundi nijuzeni.

pia kama unajua chimbo la spear hizo nambie.

Nakaribisha maoni na ushauri, vifaa vya ufundi vipo.
 
Anatakiwa akomae sana mpaka kukuza namba 3.5 namba ndogo sana ataona pesa yake ametupa
Mkuu uko wrong,Ukubwa wa mtaji sio ukubwa wa biashara.Biashara ni strategy.Unaenda katika eneo ambalo unajua biashara yako unaweza mkakati na unaanza mdogomdogo.

Unaenda kwa muuzaji wa jumla kwanza ili upate gharama za kununua na upange bei ya kuuza.Kisha unaweka mkakati wako wa mauzo kisha unakuwa tu na sample dukani then mtua anaagiza mzigo unapiga simu kwa muuzaji wa JUMLA kucheck kama mzigo upo unafanya biashara.KUWEKO STOCK kubwa dukani sio ukuwa wa biashara.Dukani ni showroom tu kwamba una huduma au bidhaa fulani.
 
Heri kwenu sote wanajukwaa mlioalikwa kwenye uzi huu kama nilivyonena hapo juu.

mimi ni kijana nipo kuomba ushauri juu ya biashara ya kufungua duka la spear ya vitu vya kieletronics kama ambayo baadhi nmevitaja juu..pia ikumbukwe mimi ni fundi wa hivyo vitu.

Eneo nililopanga kufungua ni kahama au katoro pia kama kuna sehem nyingine yenye watu wengi ambayo haina mafundi nijuzeni.

pia kama unajua chimbo la spear hizo nambie.

Nakaribisha maoni na ushauri, vifaa vya ufundi vipo.
Spare, sio "spear". Spear ni mkuki.
 
Hiyo kwa kuanza nayo inatosha kabisa, biashara ni strategy zako, bora kuanza kuliko kusema ukusanye kwanza hadi ziwe nyingi.Anza leo mkuu, wewe kuwa fundi imekuongezea advantage kabisa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Heri kwenu sote wanajukwaa mlioalikwa kwenye uzi huu kama nilivyonena hapo juu.

mimi ni kijana nipo kuomba ushauri juu ya biashara ya kufungua duka la spear ya vitu vya kieletronics kama ambayo baadhi nmevitaja juu..pia ikumbukwe mimi ni fundi wa hivyo vitu.

Eneo nililopanga kufungua ni kahama au katoro pia kama kuna sehem nyingine yenye watu wengi ambayo haina mafundi nijuzeni.

pia kama unajua chimbo la spear hizo nambie.

Nakaribisha maoni na ushauri, vifaa vya ufundi vipo.
Labda speak za baiskeli
 
Back
Top Bottom