GOD my watcher
JF-Expert Member
- Oct 9, 2019
- 298
- 271
Inategemea na eneo mkuu.... Ila huyu kasema mtaji huo bila kutaja kama ni pamoja na frame au lah....3.5 M ? so flem tu.
Anatakiwa akomae sana mpaka kukuza namba 3.5 namba ndogo sana ataona pesa yake ametupaMkuaa kuanzisha inatosha kabisa.Cha muhimu zingatia kanuni za msingi wa biashara.
3.5 M ? so flem tu.
Mkuaa kuanzisha inatosha kabisa.Cha muhimu zingatia kanuni za msingi wa biashara.
Mkuu uko wrong,Ukubwa wa mtaji sio ukubwa wa biashara.Biashara ni strategy.Unaenda katika eneo ambalo unajua biashara yako unaweza mkakati na unaanza mdogomdogo.Anatakiwa akomae sana mpaka kukuza namba 3.5 namba ndogo sana ataona pesa yake ametupa
Ngoja waje mkuu...
Spare, sio "spear". Spear ni mkuki.Heri kwenu sote wanajukwaa mlioalikwa kwenye uzi huu kama nilivyonena hapo juu.
mimi ni kijana nipo kuomba ushauri juu ya biashara ya kufungua duka laspearya vitu vya kieletronics kama ambayo baadhi nmevitaja juu..pia ikumbukwe mimi ni fundi wa hivyo vitu.
Eneo nililopanga kufungua ni kahama au katoro pia kama kuna sehem nyingine yenye watu wengi ambayo haina mafundi nijuzeni.
pia kama unajua chimbo la spear hizo nambie.
Nakaribisha maoni na ushauri, vifaa vya ufundi vipo.
Spare, sio "spear". Spear ni mkuki.
Hiyo kwa kuanza nayo inatosha kabisa, biashara ni strategy zako, bora kuanza kuliko kusema ukusanye kwanza hadi ziwe nyingi.Anza leo mkuu, wewe kuwa fundi imekuongezea advantage kabisa.Heri kwenu sote wanajukwaa mlioalikwa kwenye uzi huu kama nilivyonena hapo juu.
mimi ni kijana nipo kuomba ushauri juu ya biashara ya kufungua duka la spear ya vitu vya kieletronics kama ambayo baadhi nmevitaja juu..pia ikumbukwe mimi ni fundi wa hivyo vitu.
Eneo nililopanga kufungua ni kahama au katoro pia kama kuna sehem nyingine yenye watu wengi ambayo haina mafundi nijuzeni.
pia kama unajua chimbo la spear hizo nambie.
Nakaribisha maoni na ushauri, vifaa vya ufundi vipo.
Hiyo kwa kuanza nayo inatosha kabisa, biashara ni strategy zako, bora kuanza kuliko kusema ukusanye kwanza hadi ziwe nyingi.Anza leo mkuu, wewe kuwa fundi imekuongezea advantage kabisa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Habari yako Faiza?Spare, sio "spear". Spear ni mkuki.
Labda speak za baiskeliHeri kwenu sote wanajukwaa mlioalikwa kwenye uzi huu kama nilivyonena hapo juu.
mimi ni kijana nipo kuomba ushauri juu ya biashara ya kufungua duka la spear ya vitu vya kieletronics kama ambayo baadhi nmevitaja juu..pia ikumbukwe mimi ni fundi wa hivyo vitu.
Eneo nililopanga kufungua ni kahama au katoro pia kama kuna sehem nyingine yenye watu wengi ambayo haina mafundi nijuzeni.
pia kama unajua chimbo la spear hizo nambie.
Nakaribisha maoni na ushauri, vifaa vya ufundi vipo.
"flem" ndio mdudu gani?3.5 M ? so flem tu.
Labda speak za baiskeli