Kwa mtaji wa 3.5M inatosha kuanzia duka la spea za TV, Radio, simu na vifaa vingine vya umeme?

Asante sana unalijua vzr chimho la hivyo vitu au hata ukinipa mawasiliano tu itanisaidia sana.
tda 2030
tda 2050
tda 7377
Lm 324
vertical ICs
H.O.T transistor
power module aina tofauti totauti
universal circuit za TV
Zener diode 5v
resistors
diode 4007
power adapter za tv
amplifier circuit za radio
tranformers
Screws drivers
Capacitor zile zinazotumika sana kwenye tv za chogo 35volt, 160v, 25v, 63v
 
Umedadavua vizuri kabisa.....nitaangalia soko lake
 
Kwenye kutengeneza kuna vitu viwili
repair
replace
 

+255 65 555 9080
Huyu anaitwa flaines
Yupo dar k koo ndipo hua naagiza vitu
Yapo maduka mengine huenda bei iko chin
Ila ukienda kwake utapewa bei zote afu uta match na wengine
 
wewe ni muuzaji wa hivi vitu?
 
Ahahaha nimependa ulivyo oanisha vzr tu kumbe uko vzr kila mahali aise nitakudm unipe abcd za kutosha niwezekeze hapo
 
Unaijua vyena hii biashara safi sana
 
Kwa wale wanaohitaji Mobile phones/Laptops and accesories wanicheki pm niwaagizie kutoka Dubai kwa bei nzuri.
 
Nakupata mkuu
 
Tajiri kwa elctronics atleast mtu awe na sh ngap
 
KWA MAHITAJI YA ELECTRONICS MBALIMBALI KUTOKA DUBAI MNICHEKI WADAU.
WHATSAPP:+971527794329
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…