Ulikutana na changamoto na mafanikio yapi?Nilishaifanya ndio nimetoka huko nabadilisha biashara,
[emoji16][emoji16][emoji16] mm mkristu ntafungua baada ya utafiti
Habari zenu Wakuu. Nlikuwa naomba ushauri na uzoefu wenu, kwa mtaji wa 4,000,000/= naweza kufanya biashara gani yenye mzunguko wa pesa mzuri hasa pale jijini Arusha?
mkuu unataka kumuunga na chama gani?Nitafute kwa 0715476787 nikupe upenyo wa mafanikio
Kumbe wakristu ni ruksa kunywa viroba na nguruwe!kama mkristu tafuta eneo zuri uza kitimoto,weka na bia utatoboa mkuu,au kama dini hairuhusu uza chakula
Kumbe wakristu ni ruksa kunywa viroba na nguruwe!
mkuu unataka kumuunga na chama gani?
fungukia hapahapa ili na sisitufaidi