Kwa mtaji wa 4,000,000/= naweza fanya biashara gani Arusha

Kwa mtaji wa 4,000,000/= naweza fanya biashara gani Arusha

inno89

Member
Joined
Jun 26, 2016
Posts
90
Reaction score
75
Habari zenu Wakuu. Nlikuwa naomba ushauri na uzoefu wenu, kwa mtaji wa 4,000,000/= naweza kufanya biashara gani yenye mzunguko wa pesa mzuri hasa pale jijini Arusha?
 
Nilishaifanya ndio nimetoka huko nabadilisha biashara,
 
kama mkristu tafuta eneo zuri uza kitimoto,weka na bia utatoboa mkuu,au kama dini hairuhusu uza chakula
[emoji16][emoji16][emoji16] mm mkristu ntafungua baada ya utafiti
 
Nenda kateshi kachukukue alizeti gunia kama35000 + kukamua then leta Arusha sambaza katika mabar, maduka, mahotelini
 
Changamoto kubwa ni kupata dereva mwaminifu,wengi wao wanasumbua,kingine zimejaa sana bodaboda mtaani hadi wengine wanageuza kuwa usafiri binafsi,pia service inahitajika mara kwa mara, pia bajaji kwa pale dodoma ziliharibu soko la madereva wa boda boda,mafanikio yake ni machache mno
 
Habari zenu Wakuu. Nlikuwa naomba ushauri na uzoefu wenu, kwa mtaji wa 4,000,000/= naweza kufanya biashara gani yenye mzunguko wa pesa mzuri hasa pale jijini Arusha?

Nitafute kwa 0715476787 nikupe upenyo wa mafanikio
 
Back
Top Bottom