malembeka18
JF-Expert Member
- Jan 26, 2018
- 3,913
- 4,695
Odd za uhakika ni odd gani hizo?Fanya kila siku uwe unatafuta odd 2 za uhakika unatia zako milion 50.. Utakuwa unaingiza 50milion faida kila siku fanya hivo utakuja kunishukuru.
Biashara sio machine, unaweza nunua hizo mashine hela yote ikaishia huko ukakosa pesa za uendeshaji, masoko na usambazaji...Wakuu habar zenu nafikiria kufungua kiwanda yaan kununua machine kwa ajili ya uzalishaji
Sasa kwa mtaji wa Milioni 50 naweza kununua machine za kuzalisha bidhaa zipi ambazo nitaweza kuingia sokoni kuusaka utajri maana nimeiona biashara za uchuuzi zitanichelewesha sana
Wadau leteni mawazo yenu
Newcastle vs ChelseaOdd za uhakika ni odd gani hizo?
Biashara sio machine, unaweza nunua hizo mashine hela yote ikaishia huko ukakosa pesa za uendeshaji, masoko na usambazaji...
Usianze na bidhaa, anza na wateja, jua wateja wako ni kinanani? Ndio uwatafutie bidhaa ya kuwauzia.
ningekupa wazo ila na mimi nataka kuwa tajiriWakuu habar zenu nafikiria kufungua kiwanda yaan kununua machine kwa ajili ya uzalishaji
Sasa kwa mtaji wa Milioni 50 naweza kununua machine za kuzalisha bidhaa zipi ambazo nitaweza kuingia sokoni kuusaka utajri maana nimeiona biashara za uchuuzi zitanichelewesha sana
Wadau leteni mawazo yenu
unamdanganya mwenzakoNewcastle vs Chelsea
Mpe Chelsea goal 3 na ushindi
🤣🤣🤣unamdanganya mwenzako
Acha kumdanganya mwenzako wewe.Njoo kahama tuchimbe dhahabu mkuu kesho nitumie laki5 ya kwenda kukuangalizia njia zako kwa mtalaamu hadi unakuja ramani iko bampa tu bampa ni kutekenya utajiri huu hapa
Bora uchuuzi hasa wa bidhaa za jumlajumla kuliko uzalishajiFungua kiwanda cha kusaga unga wa ugali na lishe.
Ila, niandalie kama 1,000,000 kwa ajili ya kukuandalia andiko bora la kibiashara na ushauri.
Chonde chonde, jihadhari na biashara ya uchuuzi. Siri ya utajiri ni kumiliki kiwanda.
Hizo ni biashara za kugombana na watu tuNunua bajaji 5. Kila moja italeta 25,000/siku. Jumla 125,000. Baada ya miezi mitatu unaweza nunua bajaji mpya kwa makusanyo uliyoyafanya.
Kabisa aisee, muonee tu huruma.Amna mkuu